Search results

  1. K

    Pata CCTV Camera ya Wi-Fi inayokutumia video kwenye simu yako ya mkononi muda huohuo ukiwa popote pale ulipo

    Mkuu umeeleza vizuri, kumwambia mtu camera ina WiFi thenunakamata matukio ukiwa popote halieleweki kirahisi kwa watu wasio jua CCTV camera zinafanya kazi vipi. Camera kuwa na WiFi maana yake inakuwa kama device yoyote inayokamata internet wirelessly kama Laptop, simu E.t.c Then since hiyo camera...
  2. K

    Kampuni ya Mawasiliano Smart(Zamani Benson) yashindwa kujiendesha, kufungwa wakati wowote

    Umemjibu vizuri sana, Smart wameshindwa kutokana na ushindani mkali uliopo. Kumbuka Voice sio issue sana nowadays kwenye haya makampuni, Data and VAS ndo kila kitu hivyo inabidi uwe na credibility ya kutosha kuwin market ambayo smart walikuwa hawana. Kingine muhimu infrastructure yao bado sana....
  3. K

    ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

    Kwahiyo baada ya kumwaga petroli dirishani ndo likaungua godoro tu na huyo bwana na Bibi.OK.
  4. K

    Dr. Ramadhani K. Dau amlilia Alhajj Mzee Kitwana Kondo

    Hahaaa Dada faiza post zako zinaniachaga hoi sana.....
  5. K

    Ushauri unahitajika: Mke wa rafiki yangu akutwa na VVU

    Maana hamna tena namna...itakuwa vita kila siku hhumo ndani ni bora kuchukua maamuzi magumu
  6. K

    Kamanda Sirro awajibu waliosusia maiti ya kijana aliyeuawa akihisiwa kuwa jambazi

    Si hilo tu, gym hawajifunzi boxing.kule ni kutengeneza mwili na kuuweka fiti sasa hili halikupi uwezo wa kujibu jibu hovyo usiowajua. Wengi hupigika kwa style hii na hawakomi.
  7. K

    The Greatest JF intelligent man

    Dah kweli kabisa mkuu Nguruvi ni mmoja wa wajuvi wa mambo...ila na nyani ngabu japo mtata mtata ila ni very critical ukimuingia kichwa kichwa uunakimbia:D:D
  8. K

    The Greatest JF intelligent man

    Mkuu umeongea kitu muhimu sana, naheshimu kipawa kikubwa cha uandishi wa The Bold. Kwenye critical thinkers I salute Kiranga, barafu. zamani kuna jamaa alikuwa anajiita Pundit simwoni akipost siku hizi....wapo wengine wengi wenye uwezo mkubwa.
  9. K

    Nauliza, hivi lile sakata la kusafirisha mchanga wa dhahabu liliishia wapi!?

    Kingine labda ni kujiridhisha kuwa sample zilizochukuliwa zinaakisi ukweli au lah Ngoja tusubiri maprofesa watupe report.
  10. K

    Yupi bora: Anayetuma Card kwa mpinzani wake au anayetuma Usalama wa Taifa?

    Kuna shida kubwa ya kutamka tu baadhi ya vitu Kama VPN bila uelewa wa kutosha then anaongezea kuwa amezidownload na kuziwasha. How do you download VPN na kuiwasha? Anyway labda atakuja na ufafanuzi mwingine.
  11. K

    Mtangazaji Ivona Kamuntu

    :D:D:D:D
  12. K

    14 Kenyan Celebs who started from the bottom and are broke again

    Hahaaaa dah nimecheka sana mkuu
  13. K

    Hivi nyie wanawake; hamna zawadi ya kutupa zaidi ya papuchi?

    Haja HahaHahahaaa kwahiyo unaikubali basi tu, kusema hapana nimekusaidia tu huwezi ila ndo unakubali tu shingo upande hahaaa basi sawa
  14. K

    Rama Dee: "Lowasa anapaswa apumzike awaachie watu wafanye kazi"

    Hahaaaa watu mna maneno eti kipara ngoto
  15. K

    TTCL ni Jipu, city centre hakuna mtandao wiki nzima!

    TTCL inashangaza sana, wao ndo wana network kubwa nchi mzima, provider wengi wanaingia nao mikataba kutumia tower zao zilizoenea nchi nzima yet eti haohao wanawashinda. Watumiaji wakubwa na wadogo wa internet wote kigezo chao ni reliability first, second how proactive you are pale Mteja...
  16. K

    TTCL ni Jipu, city centre hakuna mtandao wiki nzima!

    Biashara ya internet inahitaji umakini wa hali ya juu. Kuna makampuni hayawezi kusurvive bila internet base on the nature of their business. Kama washindani wako (providers) washajua uzembe wako unaosababishwa na ujinga tu, then kwakuwa we Una ki moderm na kacomputer kamoja huwezi changamoto za...
  17. K

    Wanawake na kasumba ya kupenda sana magari

    Kiroho safi kabisa mazee hahahaaaa
Back
Top Bottom