Search results

  1. BiMkubwa

    Matokeo ya form two

    Habari zenu wanaJF. Ninahitaji msaada wa kupata matokeo ya Form 2 kupitia kwenye mtandao. je kuna yeyote anafahamu jinsi ya kuyapata? Naona NECTA wala Wizara hawajaweka mtandaoni.
  2. BiMkubwa

    Milipuko Dar?

    Jamani niko mlimani UDSM nasikia milipuko kama yanatokea downtown dar es salaam. Je kuna yeyote anayasikia pia? Kuna nini?
  3. BiMkubwa

    Phd ya rais bingu wa mutharika

    Nilikuwa nasoma Daily News ya leo na nikakutana na wasifu wa Rais Bingu wa Mutharika wa Malawi. Kwa kifupi PhD yake ni ya Pacific Western University. A well known Diploma mill. Tunapolalamika kuhusu PhD feki za viongozi wetu, jirani zetu wana RAIS mwenye PhD feki.
  4. BiMkubwa

    Where can I get in touch with Godfrey Mwampembwa a.k.a. GADO?

    Hi Everyone, Is there by any chance in this forum, an acquaintance of Godfrey Mwampembwa a.k.a. GADO? The famous political cartoonist of the Daily Nation Newspaper and the creator of the XYZ show. Kindly PM me. all I need are his contacts, preferably email account or phone. Your assistance...
  5. BiMkubwa

    Drill Commands in Kiswahili

    Members, If there is anyone who has been through the army or at least JKT, could they assist me in this matter. I need the drill commands that we use for marching. I know some of them but I need a few more. Stand at ease - mguu pande Attention - mguu sawa Forward march Goose...
  6. BiMkubwa

    Second Wives of African Presidents

    The worse blunder or marriage of an African leader to a second wife is that of Cameroon’s President Paul Biya to Chantal Vigoroux. Contrary to leaders such as Robert Gabriel Mugabe, Mathew Olusegun Obasanjo, Albert Bernard Bongo Odimba or Laurent Gbagbo, Paul Biya is not charismatic. But like...
  7. BiMkubwa

    Indian teacher explains 'the F word'

    This is hilarious. Sit back and enjoy YouTube - Indian teacher explains the word "https://jamii.app/JFUserGuide"
  8. BiMkubwa

    Msaada tafadhali

    kwa wanajamiiforums wote, Ninahitaji clips chache za taarifa ya habari inayosomwa kwa kiswahili yaani kutoka katika televisheni za Tanzania. Iwe ya kipindi chochote cha nyuma au hata za hivi karibuni. Ningependelea zaidi TV clips. Sina preference iwe ITV, StarTV, Channel TEN au TBC...
  9. BiMkubwa

    Anyone watched David Letterman Last night?

    Last night, I watched David Leterman and I laughed my heart out!!!! He made a list of the least popular holiday songs on his top ten list. You should watch this, its hilarious (at least to me) Enjoy CBS | Late Show with David Letterman : Video
  10. BiMkubwa

    Wedding ends in disarray in Kenya

    A wedding turned chaotic on Sunday after an alleged ex-lover stormed the Deliverance Church, Kitengela to stop the ceremony. Here are the pics 1. Poor bride??? 2. Here is the culprit with child? I guess? People trying to reason with her 3. You name it? 4. Confused relatives...
  11. BiMkubwa

    Noisy sex gets man banned from home

    Noisy sex gets man banned from home A court finds that the couple's antics violate a noise abatement order The Associated Press updated 8:49 p.m. ET, Thurs., Aug. 14, 2008 LONDON - A British man has been banned from visiting his girlfriend's home after neighbors complained about noisy...
  12. BiMkubwa

    Tanzanian Olympians

    Msaada tafadhali waTanzania, Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Olympics ila kuna jambo linanitatiza hapa. Leo ni siku ya nne tokea mashindano ya swimming yalianza kufanyika. Sijui ni wangapi wana taarifa kuwa tumepeleka watanzania wawili kwenda kushindana katika kipengele hiki cha mashindano...
  13. BiMkubwa

    Husband snatcher faces women’s wrath

    The East African Standard Newspaper Published on 02/08/2008 By Patrick Muriungi And Boniface Gikandi A woman accused of snatching husbands was on Friday stripped naked and frogmarched to the chief’s camp in Meru town. The woman from Runogone village in Imenti North District had...
  14. BiMkubwa

    Political cartoons

    WanaJF, Katika pitapita zangu nimeona hatuna thread ya Political cartoons. Sometimes we need humour hata katika yale yenye kutuumiza kiakili. Kwa hiyo nimechukua fursa hii kuiazisha thread hii ili yeyote mwenye political cartoon abandike hapa ili tufurahi pamoja. ninaanza na ya US elections 08
  15. BiMkubwa

    Tanzania Idol auditions were a joke

    Hello watanzania mliopo duniani kote na wenye mapenzi mema na entertainment industry ktk nchi yetu. katika pitapita zangu nilikutana na post hii. hebu someni mniambie mawazo yenu. I will try cut and pasting it just incase maana wengine tuko technically challenged. Someni pia na comments...
Back
Top Bottom