Search results

  1. T

    Rushwa za uchaguzi ujao makanisani zimeanza. Watumishi wa Mungu chukueni tahadhali

    Askofu Dr Shoo amenena ukweli kuwa Rushwa za uchaguzi zimeanza kupenyezwa kwenye makanisa na misikitini, bila aibu watumishi wa Mungu na waumini chukueni tahadhali za kutosha ili msije mkajidhalilisha kwa umma wa Tanzania. Wananchi wanaona yanayotendeka kipindi hiki kwa viongozi wetu...
  2. T

    Lengo la Uchangiaji wa gari ya Lissu ni shillingi ngapi,tujue

    Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
  3. T

    Wakusanya tozo za parking Jijini Mwanza wala Rushwa wakubwa mtaa wa Kalutta

    Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
  4. T

    Kenya na Uganda wakopa Exim kujenga SGR mpaka Malaba mpakani

    Nimepitia taarifa inayosema Kenya na Uganda zimeingia makubaliano ya kujenga SGR kutoka Kenya hadi Uganda hatimaye Rwanda na DRC na Sudan Kusini. Reli hii ikikamilika italeta ushindani mkubwa na SGR ya Tanzania ambayo nayo ina malengo hayohayo ya kuhudumia Uganda,Rwanda,Burundi na DRC. je hali...
  5. T

    Mkubali msikubali Uchaguzi wa 2024/25 hautakuwa huru na haki

    Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024,wabunge,madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki.Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni kulalamikiwa na ACT wazalendo na hata kususia uchaguzi uliofanyika mwezi huu Zanzibar. Hivyo...
  6. T

    Mtanda fuatilia kwa karibu mradi wa jengo la uwanja wa ndege la kimataifa Mwanza, limesimama tena

    Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa. Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla alijitahidi sana kuurejesha kwenye uhai lakini kampuni ya Mzawa haionekani kufanya chochote hadi sasa...
  7. T

    Bonnah Kamoli kushikilia shillingi ya waziri kuhusu Kipunguni ilikuwa danganya toto, hata wewe jamani

    Nilimsikia Mbuge wa Segerea akitoa notisi ya kushikilia shilingi ya Waziri wa Uchukuzi kuhusu malipo ya fidia Kipunguni A lakini ghafra ikawa kimya je kulikoni na wewe unatusaliti Mungu yupo naamini atatulipa tu. Asanteni sana kwa kututesa
  8. T

    Nchi imesimama kisa Kamati Kuu ya CHADEMA. Hongereni

    Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CHADEMA, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake. Kwa kweli Chadema hongereni kwa hatua hii muhimu mliyofikia kisiasa mkienda vizuri mna kesho nzuri shikilieni hapohapo huku...
  9. T

    Mohamed Mussa na Utanzania

    Nimemsikiliza Mbunge Mohamed Said Issa nadhani wa ACT kutoka Zanzibar akichangia hotuba ya wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu ubaguzi wa kimuungano. Awali nilivutiwa na hoja zake lakini baada ya kubaini kuwa hoja kutoka kwa wabunge wenzake kuwa yeye ni Mtanzania, alizikataa zote pamoja na...
  10. T

    Changamoto ya Internet inazidi kuathiri shughuli mbalimbali nchini

    Hali ya mtandao wa internet bado ni mbaya sana kiasi cha kufanya shughuli za kiuchumi na kijamii kuathirika. Hii ni pamoja na Mabenki, Mahospitali, maduka, TRA, Umeme, Mashirika ya ndege, na maeneo mengineo. Kwa uwekezaji na maeneo ya kiuchumi na kijamii hili liwe funzo kubwa kuwa tunahitaji...
  11. T

    Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na...
  12. T

    Mbowe na Lissu ni mchanganyiko mzuri wa kukijenga chama

    Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana, na anayo subra ndogo. Hapendi kutumia diplomasia, yeye ni koleo kwa koleo, lakini ni mjenga hoja...
  13. T

    Mbunge Tabasamu usitoe sifa za bure kwa Prof. Mbarawa Bungeni kuhusu uwanja wa Ndege wa Mwanza

    Nimefuatilia hotuba ya kuchangia ya Mhe. Tabasamu kwenye Bajeti ya Uchukuzi na kusikitishwa na sifa na shukrani aliyoitoa kwa waziri wa uchukuzi kuwa amewezesha ujenzi wa uwanja huo kuwa wa kimataifa. Ajabu uwanja huo haujaanza kujengwa wala site mobilization haipo, na mitambo ya kudanganyia...
  14. T

    Malipo ya fidia ya Kipunguni yatua Bungeni nani anakwamisha,tuikae CCM

    Ni aibu iliyoje kwa serikali kushindwa kulipa fidia Kipunguni kwa kipindi cha miaka 27 na zaidi. je mwenye kustahili kuwajibika Waziri wa fedha,Uchukuzi,TAA au Rais na mwenyekiti wa CCM,tuambiwe. Waziri Mkuu ingilia kati kuna mchezo mchafu.Mbunge Kamoli amelisemea sana sasa joma na iwe noma.Watu...
  15. T

    Rushwa na uchaguzi wa CHADEMA

    Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
  16. T

    House keeping wanahitajika haraka

    Hoteli ya Lahe hotels Mwanza inahitaji Kuajiri proffessional mfanyakazi wa vyumbani kwa mshahara 150000/= tafadhali wasiliana na meneja 0715450012 au 0655290084.
  17. T

    Mkandarasi Mshauri Mwanza Airport

    Naomba kumjua mkandarasi mshauri kwenye uboreshaji wa miundo mbinu uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza, ni nani hasa ili tujua uwezo wake.
  18. T

    Mwana CCM unazungumzia kupoteza watu wakati sera za chama zimebadilika. Huyu aelemishwa 4R

    Nimesikiliza kauli za kijana wa UVCCM huko Kagera akizungumzia kupoteza watu kutokana na kumtukana Rais,na pia nimemsikiliza Dr Nchimbi akipinga kauli hiyo kwa nguvu,kwenye ziara zake. Kwa mawazo yangu inaonekana bado kuna watu wana mawazo na mitizamo ya mifumo na sera ya awamu ya 5. Naomba...
  19. T

    Kauli za fedha imetolewa na Serikali na Rais tunazisikia je miradi inatekelezwa

    Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa wanasiasa na watendaji kupata promo za kiuchaguzi. Waelewe kuwa wananchi wa leo wameelemika mno ni vizuri...
  20. T

    Kampuni iliyoingia mkataba wa kujenga jengo la abiria Mwanza Airport kulikoni mbona kimya?

    Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
Back
Top Bottom