Search results

  1. Isaya wa njombe

    Nataka nipate kazi ya kuandikisha wapiga kura, nifanyaje?

    Kwema jamani Vyuma vimekaza natamani nipate hata hiyo tenda ya kuandikisha daftari la wapga kura. Ishu ni kwamba cheti cha form four nilipoteza. Je, hakuna namna naweza kupata hii dili? Naombeni ushauri.
  2. Isaya wa njombe

    Hii daladala inalazimisha wanafunzi wawe na Tsh. 200 kamili, zaidi ya hiyo hawarudishiwi chenji

    Habari za asubuhi, Kiukweli leo asubuhi tar 20/3/2024 nilitoka Mabibo kuelekea Muhimbili kwa usafiri wa daladala, tulipofika hapa Kigogo Roundabout ya Ilala na Magomeni, kuna mwanafunzi alishuka ni mdogo miaka kama 6 au 7 alimpa kondaka nadhani miaka 500/=. Kumbe makondakta wanataka uingie...
  3. Isaya wa njombe

    Kwenu Mkurugenzi na Meya wa Jiji la Ilala. Mtaa wa Upanga hauna taa, pia barabara ni Mbovu

    Salute. Niende kwenye mada. Tafadhari waheshimiwa tunaomba chonde chonde tuwashiane taa upande wa Upanga kiukweli kunatia aibu, yaani ukianzia mtaa wa Mindu karibu na Mhomboli mpaka Tambaza Secondary ni Giza tupu. Kiukweli ni aibu, jiji limekuwa Katoro Geita huko. Ukija kwenye msikiti wa bwana...
  4. Isaya wa njombe

    Kigogo hospital nendeni na wakati, tumewachoka

    Ada kiukweli hosptali ya Kigogo tunaomba mjitafakari Leo tar 25/6/2023 nimefika tangu saa Moja kupata matibabu, tangu muda huo nakuja kumuona Daktari saa tatu kibaya zaidi huwa mnakuwa na vikao kila asubuhi, pangeni muda Mapema mmalize. Leo kikao mnamaliza saa 8:38 hapa kitu unachohudumiwa...
  5. Isaya wa njombe

    Chief Godlove ni mtu wa wapi?

    Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona...
  6. Isaya wa njombe

    Biashara ya nazi Kilwa

    Habari ya asubuhi, Nataka kupata uzoefu wa biashara ya. Nazi kuna jamaa yangu alinambia kule Kilwa nazi bei yake ni Tsh. 650-700. Natamani nifanye biashara hiyo nikachukue kwa bei ya jumla nilete DSM hivyo nashani humu kuna wazoefu naomba kama wanaweza kunipa ABC za hasara na faida.
  7. Isaya wa njombe

    Tatizo la Watu kunitazama sana

    Niende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani...
  8. Isaya wa njombe

    Tiba ya damu kuzidi mwilini ni ipi?

    Salute. Niende kwenye mada naombeni msaada kama kuna madaktari humu wabobezi ni hivi nasumbuliwa na tatizo LA damu kuzidi niliambiwa hivyo baadae ya kupima niliambiwa ni 17. Ndugu inanipa shida sana nimeenda Ilala afya center wakaniambia niende mhimbili kwa vipimo zaidi kabla sijaenda mhimbili...
  9. Isaya wa njombe

    Nataka kusomea kozi ya Operation of Harbour (Mobile Harbour Crane and STS)

    Kwema? Niende kwenye mada. Mimi kazi yangu nalipwa mshahara laki tatu 300k nipo DSM lengo la kuandika juu Uzi nataka nikasomee hiyo kozi hapo juu kuendesha mitambo ya bandari. Nimepata chuo kipo pale Kijitonyama(Ihet) Lengo la juu Uzi naombeni ushauri NSSF nina m5 na chuo ada nimeambiwa...
  10. Isaya wa njombe

    Kila nikianzisha mahusiano, yanavunjika kabla hatujafikia hatua nzuri

    Wakuu nisiwachoshe Mimi ni kijana mwenye umri was 35 naelekea uzeeni Niko DSM nipeni ushaur jamami licha ya umri wangu kwenda suala LA mke kwangu imekuwa mtihani kiukweli nikianzisha mahusiano gafla tu nachukiwa na nimpendaye na napata mitihani mingi mbaka tunaàchana. Pia hata njian kuna mda...
Back
Top Bottom