UONGOZI Institute interviews the 3rd President of Tanzania on leadership and the challenges faced.
Mr. Mkapa, a journalist, diplomat and politician, was elected President of Tanzania in November 1995 and re-elected President in 2000 for another five year term. As President, Mr. Mkapa continued...
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini hutokea hivi? Tena wakati mwingaine hata kiss za mashavuni bado macho yanafumbwa. Mwenye ufahamu na hili...
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini hutokea hivi? Tena wakati mwingaine hata kiss za mashavuni bado macho yanafumbwa. Mwenye ufahamu na hili...
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu...
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu...
Waungwana naomba nisaidiwe kwa hili nataka nijue ni vyuo gani vya india vinavyotambulika na tcu au ni sifa gani wanazozitumia tcu kukitambua chuo kuwa ni sifa za chuo? thanks
ndugu zangu poleni na kazi na shule kwa wengine , nomba mwenye kitabu(pdf) cha huyo prof or anayejua kinapatika through internet basi anisaidie. na hata kama unavijua vingine vya huyo prof. Rwegasira or kitabu chochote cha inflation in tanzania (1966-2011) basi nisaidie naviitaji . thanks
malawian man who collapse and die while having sex with a prostitute was killied by sex sweetness, wanajf hii imekaaje maana me binafsi aingii akilini.
nimependa video yake ni mzuri sana, ila bado sijajua hii ni tv show au series na iko kwa upande up zaidi yaani sports, fashion, drama, comed, au ni nini? nimeona youtube na imeandikwa kuwa inaonyeshwa EATV TANZANIA , ndugu zangu mlioko tz na mnafatilia iki kipindi naomba mnijuze...
HA HA HAAA.. WAHAYA MPO!!!???? just a joke
*Doctor Kimaro : What happened to your arm?
> Mutagwaba : I broke it.
> Doctor Kimaro : Where and How did that happen?
> Mutagwaba : Okey. It was a normal Saturday afternoon. I was on my balcony sip... ..
> Doctor Kimaro : Is that where you...
YouTube - ‪Beyonce Africa Call Out. from where!‬‏[/video]
this is where she got
http://The truth is:
The two African male dancers dancing next to Beyonce are two of the 3 African dancers in this video. They're called Tofo Tofo dancers and they're...
migomo ya mara kwa mara ya vyuo hapa nchini inawezekana ikawa ni sababu ya kupungua kw idadi ya waliopass alevel mwaka huu kulinganisha na miaka ya nyuma?. me kwa mtazamo wangu kabla matokeo haya nilifikiria hili na kumweleza rafik yangu kuwa hii migomo inaweza ikaathiri matokeo ya alevel, na...
SALAM KWA WOTE, me nimwanafunzi wa ba (economics) natamani na napenda kusoma short course za computer kama vp networking au oracle, vp wezangu imekaa poa au nakosea?
SALAM kwa wana mmu , naomba majibu yenu maana nadhan ndio solution yangu, kwa ufupi ninatatizo la kutodumu na wapenzi, mpaka hapa nilipo nishawahi kuwa na uhusiano na wanawake kama nane hivi kila mmoja kwa kipindi chake , ila lakunishangazi sijawahi kudumu na mwanamke yeyote zaid ya miezi sita...
SALAM kwa wakubwa na hi kw vijana wenzangu,me ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho BA(economics, public administration na political science), ninamalengo ya kuungunisha kusoma master, ila tatizo langu kubwa ni bado sijajua kitu gani nitasoma master ambacho kinamarket katika soko la ajira na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.