Barua ya Wazi Kwa Vijana Wote WANAOJITAFUTA 🫡
Mitaa inasema: 👇
Ni Rahisi kwa Mtoto Kilaza Aliyezaliwa kwenye Familia ya Kitajiri Kutusua Kuliko Mtoto Smart Aliyezaliwa kwenye Familia Duni.
98% tumezaliwa familia za unga unga mwana. Yaani unazaliwa maisha yashakupiga unbeaten tayari...
Siku ya tarehe 13.05.2024 imezinduliwa modeli mpya kabisa GPT-4o na kufanya uwezo zaidi kupatikana bila malipo kwa watumiaji wa ChatGPT.
GPT-4o ni modeli mpya kabisa inayotoa akili ya kiwango cha GPT-4 lakini ni ya haraka zaidi na inaboreshwa katika uwezo wake wa maandishi, sauti, na picha...
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu
.
Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo.
Taarifa ile ilimtaka MIIKKA kuwasiri TANZANIA akiwa na watu kadhaa Walifika TANZANIA na hapo wakapokelewa na mtu aliyejitambulisha...
1. Kuimarisha Afya ya Moyo
Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu.
2. Kuongeza Viwango vya Testosterone:
Utafiti unaonyesha kwamba kula vitunguu saumu kunaweza kusaidia kuongeza...
Tuwafundishe watoto wetu kazi kuanzia nyumbani mpaka shuleni. Tuwalee watoto wetu kama binadamu na siyo kama mifugo.
Zamani shamba la mwalimu lililimwa na wanafunzi, kuni za mwalimu zililetwa na wanafunzi na maji alichotewa na wanafunzi.
Mwanafunzi alijisikia fahari kutumwa na mwalimu wake...
Mchunga ( Dandelion) ni mmea wenye faida nyingi sana Binadam. Hapa Tanzania unapatikana porini na majumbani kama maua.
MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile;
Matatizo ya mifupa
kukosa damu
-matatizo ya mkojo
-kisukali
- Figo
-Ini
-Kansa ya damu
kansa ya utumbo mpana...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na hizo.
Naomba Mwenye uzoefu au aliyefungua Ofisi anisaidie hatua za kufuata niweze kufungua Ofisi Mkoani...
MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo.
🌿High blood pressure
🌿High cholesterol
🌿Asthma
🌿Low immunity
🌿Cancer of the blood
🌿Obesity
🌿Candidiasis
Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya PARACHICHI na kuisaga alafu utapata Unga.
Matumizi: Utakuwa unachemsha maji anaweka kwenya kikombe...
FAIDA ZA KUPAKA MAFUTA NYAYONI WAKATI WA KULALA USIKU
1. Mwanamke mmoja anasema babu yake aliishi miaka 87 bila ya kuumwa na mgongo, viungo, kichwa, meno wala mwili baada ya kufunzwa siri na mzee mmoja wa Kolkata alipokuwa anafanya kazi ya kuweka mawe juu ya reli akamuambia apake mafuta nyayoni...
Miguu yote miwili kwa pamoja ina 50% ya neva za mwili wa binadamu, 50% ya mishipa ya damu, na 50% ya damu katika mwili wako wote inapita kupitia hiyo.
▪️ Ni mtandao mkubwa wa mzunguko wa damu unaounganisha mwili. _*hivyo tembea kila siku.*
▪️Ni pale tu miguu inapokuwa na afya nzuri ndipo...
🥕1. Awali ya yote, ukichukua majani ya bamia ukayachoma kwenye moto na ukachukua yale majivu ukayapaka kwenye ngozi au kidonda ni tiba ya vipele na allergy kwenye ngozi.
🥕2. Halikadhalika ukichukua bamia mbichi ukawa unatafuna pamoja na mdimu kila siku asubuhi kama ulikuwa na kinyama kwenye...
Wadau hongera kwa mapumziko ya Eid. Kama mada inavyojieleza. Nimejaribu kupiga 100 na 101 sijapata mwongozo wa kuwapata wa hudumu wa Vodacom moja kwa moja kama ilivyokuwa awali badala yake wanakuambia utumie mitandao ya kijamii.
Lakini nimejaribu kutumia naomba ya wakala nimewapata nabkuwaeleza...
Poleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua mchele wa mwaka huu niuhifadhi niuze hapo baadaye.
Je, kuna athari yoyote?
Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka.
Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini.
Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio...
Wanajukwaa poleni na majukumu.
Naombeni msaada wenu wa tiba na mawazo kwa huu ugonjwa. Mama yangu kapatwa na tatizo la kutokwa damu puani ni mwezi sasa na umri wa miaka 50+ lakini bado ana nguvu zake vizuri tu.
Ameenda hospitali kuna sindano amekuwa akichoma lakini haijasaidia.
Hili limetokea Halmashauri ya Mji Bariadi. Mkurugenzi alisababisha ajali siku ya Jumatatu ya Tarehe16 /09/2019 saa tatu usiku.
Alikuwa na NOAH ambayo iligongana uso kwa uso na Pikipiki na kupelekea kifo cha kijana aliyekuwa anaendesha Pikipiki papo hapo.
Kabla ya Ajali hiyo siku ya Alhamisi ya...
Siku ya tare 19 /09/2017 kama sijakosea hiyo tare nilileta uzi wa kuomba msaada kwa anayefahamu tiba ya maumivu ya kidole yanayokuwa yanatokea ghafla tu pasipo kufahamika chanzo chake.
REJEA: Tiba ya kidole: Nina maumivu makali sana kidole cha mkono wa kushoto
Wengine wanasema ni mdudu ambapo...
Nina maumivu makali sana ya Kidole cha mkono wa kushoto ambayo yalianza taratibu tu
Sijaumwa na mdudu na wala sijajikata au kuchomwa na kitu chochote.
Baadhi ya watu wanasema ni mdudu wa kidole ambaye huwaga anasababisha maumivu makali sana maumivu yameanza jana jioni, usiku yamekuwa makali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.