Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa petrol kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana hiyo hizi timu ndogo zinazodhaminiwa na GSM zinaipa yanga matokeo ya bure kwa sababu tu zinatokana na mdhamini kuwa mmoja. Swali la kujiuliza je SIMBA...
Wakuu watanzania wengi pamoja na unafiki wao wakuiponda yanga bila facts, kwa sasa Yanga imewafunga midomo na watu wengi wakifikilia kuiandikia upupu wakikumbuka walijalibu kuiansikia upupu kipindi kilichopita na maneno Kama "yanga kuifunga Belozdad ni sawa nakuvaa boxer nakuvuka maji bila pumbu...
Kuna mashbiki maandazi wa simba waliiponda sana yanga na kulikuwapo nyuzi nyingi sana za kuiponda yanga kwamba haifiki popotee na haina uwezo wakuifunga CR kwa kweli kuna muda Kama shabiki wa yanga kutokana na akili za mashabiki wa simba kubeza yanga unajikuta unapata hasira sana za kwa nini...
Tukubali tukatae yanga ya sasa siyo kinyonge aisee, kuna mashabiki wakati yanga inapoteza nyumbani kwa CR, watu wengi sana walisema yanga atamaliza kundi wamwisho na hatopata point(poor mindset) kwamba wapinza watajichapia mwanzo mwisho hii ni mentality ya USIMBA NA UYANGA (KUBEZANA).Kila Yanga...
Raundi ya tatu Yanga akichukua point moja kwa Medeama halafu Belouzdad akifa kwa Ahly ugenini kundi litakuwa hivi...
MSIMAMO
1. Al Ahly points (7)
2. Medeama points (4)
3. CR Belouzdad points (3)
4. Young Africa points (2)
Raundi ya nne yanga watakuwa nyumbani Benjamin Mkapa Dar es Salaam na...
Hello laptop yangu Hp mwanangu kaipiga imeachia kwa nyuma na ina vitu vingi vya muhimu sana nahofia inawezekana ikazima, ila kuwaka inawaka fresh issue ni nyuma hapoo naomba msaada inahitajika nini kuirudisha mahala pake? Na gharama ya matengenezo
Simu yangu ni infinix note 5 inatumia line mbili, nimepata tatizo la kupoteza kwa network line ya halotel, Nina line mbili zote nikiweka network inakuja baada ya muda zinakata zote su inakuja moja tu, nikiweka Tigo si vida hazisumbui ila halotel inasumbua sana tatizo nini?
NB: nipo Dar mtandao...
Story moja hivi nawapa, so back then 2019, nilikutana na pisi kali tukazoeana fresh. tukuchat sanaaa. And damn she was smart and confident. Basi one day akaniambia tutoke so akachagua place, mwamba nikajipanga fresh Kama na 300k hivii. Mtoto alikuwa kwao Mambo safi sana, tukaenda hotel moja...
Wakuu habarini za mchana, moja kwa moja kwenye shida yangu, juzi niliweka simu yangu mfukoni nikakuta imejibonyeza bonyeza na hasa kwenye WhatsApp, sasa shida ni moja tu imestak yani nikiwasha data messages haiziingii kana kwamba data nimezima wakati ipo on. App zingine nikiwasha data zinafanya...
Aiseeeeee yani kila sehemu nowadays wanunuzi wanatongozwa kwa maneno matamu ili waandikiwe risiti ya bei tofauti na waliyonunulia inakera sana serikali yangu elekezeni nguvu kubwa kariakoo.
Mara nyingi tuu ndani ya miezi minne mfululizo nimekuwa nikienda k/koo kununua vifaa vya ndani fridge...
1-Very Selective
2-Over Confidence
3-Able to lose no matter what
4-Wanaumizwa sana ila hawajifunzi
5-Hawajali wala hawaogopi kupoteza ama kupotezewa muda
6-Wamesahau kuwa uzuri wao unakoma, kesho tu tutawachukua wadogo zao.
7-Hawapendi kazi isipokuwa yakitandani
8-Wengi wao hawana busara...
Mbona watu wengi sana (nowadays) hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo (too selective)?
Wengi mnatukana sana matusi Instagram, ushabiki kwa udaku udaku tuu, hakuna tabia kama ya wanawake kama Zari mfano sio...
Hakika nawaambieni sisi wanaume kwa hizi Barbershop kuzikimbia inataka kama kuwa ngumu hivi?
Kwanza hawa kina dadaz wa Saloon za kiume wameteka sana soko then wanapenda sana Tip. Yaani imekuwa kama lazima kumbe ni hiari ya mtolewa huduma.
Halafu hawa Dadaz wajanja sana akitaka kukuhudumia...
Mwenye hii movie inaitwa Regina iliyotolewa na kampuni ya JB Jerusalem films anisaidie. Nimeitafuta miaka miwili iliyopita bila mafanikio. Tafadhali mwenye nayo anisaidie naipenda sana.
Hello ndugu zangu habarini za jumamosi, Jana nimefanikiwa kuvuta dstv kiukweli channel ni nyingi ktk kifurushi cha bomba na offer yao ya miezi miwili inaitwa THE PUNGUZO buree, kwa 79,000/= na ufundi 20,000/= tu ukiwapa 100,000/= sio mbaya now nainjoi sana ni full HD kwa t-shs 19,000/= kwa mwezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.