Ziko DTF mbili Kuna newkins Ambayo ni used na pia Kuna DTF za kampuni ya YingHe ambazo ni mpya na accessories zingine Kama 8 in 1 Heat compressor, Kuna paper cutter machine, kuna inks na cleaning solvent za kampuni ya YingHe
Ni vyema ukanicheki nikupe Bei za Kizalendo na pia nauza printers...
Kama una mahitaji ya printers na Laptop na photo printer na copiers
Nicheki ktk namba ya Simu 0659167416
Whatsapp/ Telegram / sms/ call [emoji1690] nikupe Bei za Kizalendo
Kuna project iko nauza screpa za aina mbali mbali.
Circuit za server na RRU za minara
Cast Iron
Chuma
Aluminum
Brass
Iron
Fiber
Plastic
Taja Bei Tutirike @1kg
Kwa maelezo zaidi piga simu 0659167416 Tuelewane
Muda mwingi Niko site naweza nisije huku kujibu so ni vyema tukichekiana ktk simu na...
Habari
Moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kujua Kuna chuo gani hapa Tanzania kinachotoa diploma /degree katika kozi ya Occupational Health and Safety.
Nimeona OSHA wanatoa kozi mbalimbali za hili swala Ila nadhani zile zitakuwa ni short course.
Na vipi kuhusu zile wanatoa OSHA je...
Habari Wakuu poleni na majukumu.
Naombeni Msaada Tutani Wakuu.
Mwishoni kabisa mwaka Jana niliamua kufungua akaunti ya ajira portal na Mimi ili nikiona kazi niombe Ila Kuna changamoto so unajua Tena Hawa IT wa serikalini kazi yao ni kudownload movie tu na si kuboresha kinachowapatia ugali...
Mashine ni used but works perfectly.
Other details
Name; canon
Model; selphy CP1000
Sheet size ; 148cm x 100cm
Printing duration; approximately 2min
Power; use ac adapter and powerbanks
Support ; flash disk and various types of card reader
Jip0atie mashine ya kusafisha picha dk 3 ya canon...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania
Husika na kichwa cha Habari Hapo juu.
Nawauza Hao sungura watatu Hapo wamezidi utukutu. Naona bora niwauze drop your offer kwa wote hao watatu.
Mawasiliano yangu ni
+255659167416 (WhatsApp✓ Call✓ SMS✓)
Location; Mbagala Kizuiani.
UK Heavy Equipments Repair, we deals with repair and maintenance of all Earth Moving Equipments such as Bulldozer,Excavator,Shovel,Compactors,BackHoe,dumpers etc. we can start with diagnosis of your machinery and fix It . we fix all Main Transmissions system faults, electrical faults, and...
UK Heavy Equipments Repair, we deals with repair and maintenance of all Earth Moving Equipments such as Bulldozer,Excavator,Shovel,Compactors,BackHoe,dumpers etc. we can start with diagnosis of your machinery and fix It . we fix all Main Transmissions system faults, electrical faults, and...
Habari wakuu. Nina meno mawili ya juu yametoboka kwa pamoja. Sasa yanauma. Nisingependa kuyang'oa nataka tufanye re fill. Ila nitasikliza ushari wa mtaalamu. Je ni wapi naweza kupata huduma zote hizi? Pamoja na kusafisha meno.
Niko dar. Nina kadi ya NHIF. Au kama gharama nidokeze na kiasi
Habari. Wakuu
Naomba nianze kwa kusema Sijui lolote msaada wenu tafadhali. Kuhusu hiyo course na chuo husika.
Is it Worth?
Msaada wenu wa dondooo muhimu inahitajika
Najua kuna wanaojua mengi humu
Wakuu.
Ahsante.
*BRAND NEW _HUAWEI Y6 PRO_*
_FEATURES_
Display ; FULL HD 5.0"
Android version; LOLLIPOP 5.1
Rom; 16GB
Ram ; 2GB DDR3.
Camera ; Front 5MP & REAR CAMERA 13MP WITH LED FLASH.
Battery; Non Removable 4000mAh (huge battery)
Other features
*reverse charging*
*OTG support*
*fast charging*
New with all...
RAMADHAN OFFER FROM Dar electronics online
wanakuletea mashine za Canon selphy CP 760 and 780.
Mashine ni used but works perfectly.
Other details
Name; canon
Model; selphy CP760 and 780
Sheet size ; 148mm x 100mm
Printing duration; approximately 2min
Power; use ac adapter and powerbanks...
OFFA!!
Dar electronics wanakuletea mashine za Canon selphy CP 760.
Mashine ni used but works perfectly.
Other details
Name; canon
Model; selphy CP760
Sheet size ; 148cm x 100cm
Printing duration; approximately 2min
Power; use ac adapter and powerbanks
Support ; flash disk and various types...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.