Search results

  1. Ghaysh

    Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO KWA NINI UPRINT KWETU? WEKA ORDER YAKO LEO HUDUMA ZETU Tunaprint T-Shirt, Mashati na Uniform aina zote kwa kutumia mashine za kisasa, Embroidery(Kudarizi), DTF na screen printing. Tunaprint Product Label(Sticker za vigungashio) kwa gharama nafuu...
  2. Ghaysh

    Namna bora ya kurekebisha mtu ambaye dishi limeyumba

    Baada ya wastani miaka mitatu ya vipigo na vitisho vingi vya mara kwa mara kutoka kwa baba ake ambavyo kimsingi vilikuwa vinaniumiza na kunikera, siku moja nikiwa naamini nimepevuka nilimtafuta mama wa mtoto ambaye ni jirani yetu. Kwa sababu nilikuwa nimeshamzoea nikaanza kwa kumtania kwamba...
  3. Ghaysh

    Je, ni kosa kisheria kutumia VPN?

    TCRA vs VPN: [emoji3581]Moja, TCRA haina mamlaka kisheria kumtaka raia kwa LAZIMA atoe "IP Address" yake. Hata KUOMBA raia atoe "IP Address" ni kosa. Hili la VPN nalo linapotoshwa tu. Matumizi ya VPN hayajazuiwa na sheria yoyote ile kama wengi wanavyoaminishwa. Pili, Kanuni za 2020 zinazotumika...
  4. Ghaysh

    Dili la pesa za zamani

    Ni Kawaida Sana kupita sehemu ukasikia tangazo la mtu kununua pesa za kigeni pesa mbovu au pesa za zamani yes pesa hizi zinanunuliwa kulingana na thamani mfano elfu 10 mbovu atakupatia elfu 8 yeye akipeleka bank anapata elfu 10 Ile Ile na yeye anakuwa kapata faida ya shilingi elfu 2 maana bank...
  5. Ghaysh

    Faida na hasara za bodaboda

    Habari zenu wakuu, Mimi nikiwa kama kijana wa Tanzania na mmoja kati ya watumiaji wa usafiri wa pikipiki (Bodaboda) naomba niwasilishe maoni yangu yanayotokana na uzoefu kiasi nilioupata kuhusu usafiri wa Bodaboda. Naomba nianze na upande wa faida zake, tukiangalia jiografia ya mji kama wa Dar...
  6. Ghaysh

    Tofauti kati ya Motel, Hotel, Lodge, Lounge & Guest

    MOTEL inakuwa kando ya barabara kuu ya kwenda mikoa fulan na ina uwezo wa kuhudumia wateja Zaid ya 200 kwa wakat mmoja na huduma zake kuu ni vyakula, toilet kwa wasafiri na wasio wasafiri,vinywaj kupunga upepo kwa mda mchache. Hotel ni sehem expensive, inapaswa kuwa maeneo ya mijini,ina huduma...
  7. Ghaysh

    Wizi huwa haulipi na majuto ni mjukuu

    Mwenzetu damu zikawa zinamchuruzika kichwani tukajua anakufa….! Nakumbuka tukio hili lilitokea mwaka 2005 wakati nilipokuwa nikifanya kazi katika hoteli moja ya kitalii iliyoko katika ufukwe ulioko kusini mwa jiji la Dar es salaam. Naomba nisiitaje hiyo Hoteli. Hoteli hiyo ilikuwa ni mbali na...
  8. Ghaysh

    Niliahidi na natekeleza

    NILIAHIDI NATEKELEZA. Tunaanzia mbali kidogo kujenga msingi.... Katikati ya umri wa kuhitaji malezi bora yanayohusisha wazazi wote wawili, baba na mama yake wanafarakana kiasi cha kufikia kutengana... Hali hii inamuweka kwenye wakati mgumu wa wapi aelekee... Mchungaji Philemon Ndelemu anabeba...
Back
Top Bottom