Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
15 Reactions
225 Replies
3K Views
Inaelezwa kuwa Mradi mkubwa wa kuvuna gesi asilia wa Lindi LNG huenda ukaota mbawa na kuyeyuka kufuatia mkwamo Mpya uliosababishwa na milolongo ya majadiliano isiyoisha ambapo timu Mpya ya...
2 Reactions
35 Replies
217 Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema...
7 Reactions
33 Replies
263 Views
Mimi ni mfanya biashara mgeni kweny nafaka sasa na leo ni siku ya pili kweny hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau. Ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
28 Reactions
1K Replies
36K Views
Wakuu mimi wa muda mrefu huku jf nilikuwaga na account yangu nikaipoteza, ombi langu kwenu ni naomba mwenye kibarua chochote anisaidie nipo mkoa wa arusha nina diploma ya accounting yenye G.P.A...
3 Reactions
2 Replies
20 Views
Inashangaza na kustaabisha kuona MAKADA wa CCM wakiteseka sana na UENYEKITI wa KAMANDA MBOWE.Najiribu kujiuliza ni UJINGA wa Hao MAKADA kuacha kuhangaika na CHAMA chao na kuhangaika na UENYEKITI...
3 Reactions
4 Replies
43 Views
Wakuu kwema Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea...
9 Reactions
114 Replies
4K Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
1 Reactions
40 Replies
428 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,420
Posts
49,662,381
Back
Top Bottom