Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Ni kawaida kwa taasis za serikali kukuta viongozi wote ni wakristo. Lakini ikitokea viongozi wa wili tu yaani mkuu wa taasiai na msaidizi wake ni waislami kelelwe nchi nzima.
Nimemaliza.
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee.
Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
Wakuu salaama!
Nikawaida sana sisi wanaume kutongoza Tena bila kujari mwanamke anacheo Gani kaolewa ana mchumba au lah.
Mara zote yeye ndo husema kama ana mtu ama ana kazi gani.
Mdada mmoja...
Salamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=...
Ikitokea siku hapo ulipoajiriwa ukikosa kazi, Je una sehemu yoyote au mbinu yoyote ya haraka haraka unaweza tumia kuingiza pesa kwaajili ya mahitaji yako muhimu na ya msingi?
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20...sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact ...scientific theories
Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi...
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho...
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa.
Pale Italia wana pesa yao, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.