Lissu ukiendelea kumshambulia mzanzibar kumbuka kushukuru, ni mzanzibar alijitojitolea kukodisha ndege kuokoa maisha yako

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,769
17,085
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.

Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.

Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.

Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!

Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
 
Tenda wema nenda zako usingoje shukrani.

Kama Rais Samia alifanya alichoamini ni sahihi, naamini ana amani hata akitukanwa mara elfu na aliyemsaidia ingali sasa anamtukana.

Vivyo hivyo kwa huyo mbunge mzanzibari.

Nakusindikiza na nukuu ifuatayo.

Luka 14:12
[12]Akamwambia na yule aliyemwalika, Ufanyapo chakula cha mchana au cha jioni, usiwaite rafiki zako, wala ndugu zako, wala jamaa zako, wala jirani zako wenye mali; wao wasije wakakualika wewe ukapata malipo.

[13]Bali ufanyapo karamu waite maskini, vilema, viwete, vipofu.

[14]nawe utakuwa heri, kwa kuwa hao hawana cha kukulipa; kwa maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki.

Hivyo basi kama Rais Samia alifanya posipo kuhitaji malipo ni vyema kwake.
 
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.

Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.

Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.

Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!

Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
ni wazanzibar walichangishwa au mtu binafsi aliyekuwa anafaidika na Tanganyika pia aliamua kwa binafsi yake? shukran ziende kwake. kwahiyo kwasababu alisaidiwa ndio awe mtumwa mnapofanya ujinga asiongee?ati kwasababu mlimsaidia, ati kwasababu mlienda kumwona hospitali nairobi.
 
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.

Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.

Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.

Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!

Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Kumwelewa Tundu Lissu mpaka uwe na akili timamu. Imagine mtu anakuonyesha kwa kidole "mwezi ule" halafu unabaki ukiangalia hicho kidole kwamba ndicho mwezi. Hoja ya Tundu Lissu si kumbagua mtu, ni Katiba mpya na aina ya muungano tulio nao. Hayo mambo mengine ya Mzanzibari ni "kuangalia kidole kwa kudhani ndio mwezi."
 
Kila mpumbavu anaweza kukosoa, kulaumu na kulalamika. Lakini inamuhitaji mwenye hekima pekee kuelewa mambo na kusamehe ..
 
Kwani Salum Turki alielekeza kwamba kwa jambo lile alifanya ndo ruksa Mzanzibari kufanya chochote bara na asibughudhiwe mfano kugawa bandari etc?
 
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.

Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.

Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.

Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!

Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Kipara ungetafuta supu kwanza ujiweke vizuri. Pombe za kuchanganya hizi lazima uamke na kujikuta unabwabwaja.
 
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.

Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.

Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.

Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!

Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Kipara! haya mambo hayana uhusiano kabisa
Mzanzibari kuuza aridhi ya Tanganyika na mzanzibari mwingine kumpa lift kwenye ndege ni vitu tofauti
 
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.

Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.

Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.

Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!

Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Hivi huoni ulichoandika kinaonyesha jinsi CCM walivyo wajinga? Huoni unajiabisha mwenyewe?
 
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.

Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.

Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.

Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!

Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Ni sawa, lakini haiondoi ukweli wa, anayoyasema, Lisu anazungumzia maswala, issues, ya, nchi, sio individual issues, tofautisha, hata Hao wa zenj wanaotubagua tukiwa unguja,ni jirani zetu huku Dom,wameoa dada zetu, wamewabadilisha dini, wala hatuna shida nao,maisha yanakwemsa
 
Hoja ya Lisu ninavyoiona ni Muundo wa Muunhano na kero zake. Sijawahi kumsikia akisema mzanzibar anaroho mbaya. Mleta mada naona unapotosha

Anaewachukia wazanzibar ni mwana CCM mzee Alli Kesi
 
Baadae JPM akamuua Turki kwa kumsaidia Lissu, na nesi aliyekuwq anamtibu pale Dodoma JPM akamfukuza kazi. . That man was a S.O.B
 
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.

Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.

Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.

Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!

Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Akili za wanaccm sijui zikoje huenda huyu ni mtu mzima anafamilia wanamtegemea
 
Back
Top Bottom