Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
24 Reactions
306 Replies
5K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
14 Reactions
152 Replies
3K Views
1. Yaani ukifikiri kama panzi unakuwa panzi; lakini ukifikiri kama tajiri hauwi tajiri! 2. Anyway tupigeni kazi tu halafu masuala ya utajiri tumuachie Mungu mwenyewe maana yeye anavigezo vyake na...
8 Reactions
15 Replies
91 Views
Mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika unapigwa leo katika dimba la Olympique Hammadi Agrebi baina ya wenyeji Esperance dhidi ya mabingwa watetezi Al Ahly. Mchezo huo unatarajiwa...
4 Reactions
23 Replies
261 Views
Naombeni kujuzwa ni kwanini waganga wa kienyeji wanazikwa wakiwa wamekaa kwenye kiti pia makaburi yao ni mviringo kama kisima, mwenye uelewa ni kwanini anijuze. Na je ikitokea amezikwa kawaida...
1 Reactions
19 Replies
215 Views
Ukitazama madogo asubuhi na mapema wanabeba mabegi mazito migongoni kuisaka elimu siku nzima wanakesha mashuleni kurudi mpaka jioni. Wengine wanasomeshwa kwa lazima mpaka siku za weekend lengo ni...
8 Reactions
28 Replies
300 Views
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
22 Reactions
144 Replies
5K Views
Wanaukumbi. BREAKING: 🇮🇱 Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa Kiongozi wa Upinzani wa Israel Gantz atoa kauli ya mwisho kwa Netenyahu kuhusu vita vya Gaza: "Lazima uchague kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,960
Posts
49,646,643
Back
Top Bottom