Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana. kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana. Amesema Chi zote Zenye...
3 Reactions
18 Replies
261 Views
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata. Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje...
5 Reactions
29 Replies
356 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu. 2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku. 3. Unapo ongea na mtu...
6 Reactions
9 Replies
12 Views
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti...
14 Reactions
134 Replies
8K Views
Uwe ni mdada,au mkaka,uwe na mchumba na unasita kuamua,kuoa au kuolewa,sikia usisite,amua haraka na iwapo unataka ushauri njoo inbox.Na iwapo huna mchumba na unahitaji msaada,pia usisite kuomba...
2 Reactions
24 Replies
264 Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
5 Reactions
55 Replies
434 Views
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
6 Reactions
61 Replies
556 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,569
Posts
49,635,018
Back
Top Bottom