Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,572
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana.

Amesema Chi zote Zenye maendeleo ambazo zinatajwa kama mifano watu wake wanalipa Kodi.Ni aibu Kwa Nchi ya Tanznaia ambayo Ina watu wenye uwezo wa kulipa Kodi wapatao Milioni 15 ila wanaolipa.kodi ni Milioni 3 pekee.

“Leo Tanzania walipa kodi nchi nzima tunaambiwa na watu milioni Tatu(3) , hii ni aibu gani kwenye nchi yetu? Watu wenye uwezo wa ulipa kodi wapo Zaidi ya milioni 15 na wanaolipa kodi ni watu milioni 3 ni kwa sababu gani? “ Elly Kingu Mbunge wa Singida Magharibi.

Bwana Kingu amesema hakuna namna Nchi hii itapiga hatua kama watu hawataki kulipa Kodi na akasisitiza kwamba ukiona watu wanapinga jambo ujue wananufaika nalo.
kodi.jpg

My Take
Naunga mkono hoja ya bwana Kingu.Watanzania ni watu wa ajabu sana,unawaambia daini lisiti mkipata Huduma na kununua bidhaa au kuuza hawataki ila wanadai Maendeleo.Serikali itatoa wapi pesa za kuleta hayo maendeleo?

Mbaya zaidi ukiwabana wanaanza kutafuta visingizio vya kijinga kijinga.Nimewahi pendekeza Serikali iwafumie traffic Police kukagua bidhaa zote zilizonunuliwa kama watu wamepewa lisiti.Hatuwezi kwenda namna hii.

Kwa jirani hapo Kenya Rais wao amesema Yuko tayari kuitwa Majina mabaya yote na matusi yote ila atapandisha kiwango Cha Kodi Hadi kufikia asilimia 22% kabla hajaondoka Madarakani.

20240515_092712.jpg
 
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana.

Amesema Chi zote Zenye maendeleo ambazo zinatajwa kama mifano watu wake wanalipa Kodi.Ni aibu Kwa Nchi ya Tanznaia ambayo Ina watu wenye uwezo wa kulipa Kodi wapatao Milioni 15 ila wanaolipa.kodi ni Milioni 3 pekee.

View: https://www.instagram.com/reel/C7CAoAdtkzb/?igsh=NW8yZXh2bno3ZjRw

Bwana Kingu amesema hakuna namna Nchi hii itapiga hatua kama watu hawataki kulipa Kodi na akasisitiza kwamba ukiona watu wanapinga jambo ujue wananufaika nalo.

View: https://www.instagram.com/p/C7D290ZNrTI/?igsh=MWF0d2JhYXNjdjI3Mg==

View attachment 2992528

Yeye analipa ngapi au nataka za kuwahonga vimada wa dubai
 
Tatizo hamboreshi Sera za Kodi Kwa sababu Ni fursa Kwenu. Watanzania wako tayari kushiriki katika ulipaji wa Kodi ikiendana kwa mtu kulipa Kwa anachongiza.
 
Huenda makato kwenye miamala ya kutuma/kutoa fedha, kulipia luku, vifurushi vya muda wa maongezi na data, nauli vyombo vya usafiri nk ni mbinu za wajanja ila kama ni utaratibu rasmi basi ni kodi hiyo hata iitwe tozo.

Wao wanatumia tu kwa sababu hawalipi kodi na wanapiga pesa za umma kifisadi.
 
Nani ambae hafaidiki na Kodi yake? Utataka faida wakati hujalipa?
Vp hajasema kwanini Rais hadi wao wabunge hawalipi kodi? Vp ajazungumzia King Musukuma anaekodisha mitambo ya kutengeneza barabara pale Mwanza lakini hana ata risiti ya kuandika kwa mkono?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom