Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za wakati huu wana jamii forum bila shaka wote ni wazima na wale ambao mmeamka na changamoto mbali mbali Mungu awafanyie wepesi. Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni wa wananchi tunaoishi...
3 Reactions
13 Replies
148 Views
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza...
2 Reactions
24 Replies
439 Views
Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona. Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema...
0 Reactions
4 Replies
206 Views
Nimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo! kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.
1 Reactions
41 Replies
476 Views
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
18 Reactions
2K Replies
42K Views
CHABO VYUONI WANAITA DEO YAANI NIMELETA WAPANGAJI HAWANA MIEZI MIWILI IKIFIKA SAA SITA NAANZA KUHONDOMOLA SHEMEJI YENU NASIKIA KAMA PANYA ANAKWARUZA UKUTA MWANZO NKAVUMILIA NKAHISI PAKAA SASA...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari kwa wanaJamiiForums wote! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya jana baada ya kuifungua account yangu ya whatsApp niliendelea na mambo yangu ya kawaida (ku-chat na kuangalia...
5 Reactions
30 Replies
488 Views
Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3...
4 Reactions
17 Replies
470 Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
19 Reactions
139 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,470
Posts
49,632,591
Back
Top Bottom