Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers...
Patriarchy ni mfumo dume
mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume,huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi,siasa na sekta zengine...
Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe atalitolea tamko...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES
Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo...
Wasalaam,
Sehemu kubwa ya jamii haijui sheria mbalimbali hivyo, hushindwa kuchukua hatua dhidi ya wanaovunja sheria hizo na kuharibu ustawi wa jamii ya makundi yote.
Kusambaza maudhui mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.