Tundu Lissu asisahau 1964 Zanzibar ilikuwa na Kiti chake UN sawa na Tanganyika

John kuwa na akili hata tanganyika ilikuwa na kiti UN je vipi leo hii hicho kiti cha tanganyika kipo?maana kwa tasfiri iyo unàtaka kusema lissu anaikandamiza zanzibar.Tuna taifa moja tu TANZANIA
Viti viwili vikaunganishwa pale UN tukapata Tanzania

Kwahiyo Zanzibar tunaitambua Sisi humu humu kama Nchi lakini kwenye ramani ya Dunia siyo
 
John kuwa na akili hata tanganyika ilikuwa na kiti UN je vipi leo hii hicho kiti cha tanganyika kipo?maana kwa tasfiri iyo unàtaka kusema lissu anaikandamiza zanzibar.Tuna taifa moja tu TANZANIA
Tanganyika ilipoteza kiti UN, pia imepoteza jina sasa wanaiita Tanzania Bara,
Wengine wanakwambia Tanganyika imevaa koti la muungano eti ndio Tanzania,
 
Lissu alishasema Hilo mara nyingi tafuta clips zake utamsikia. Mara nyingi alishasema Tanganyika imeover shadow Zanzibar. Hata Leo akienda Zanzibar utamsikia akisema Hilo. Lissu hajawahi kunafikika.
Kwahiyo anakumbuka UN inasoma 50-50
 
Tanganyika ilipoteza kiti UN, pia imepoteza jina sasa wanaiita Tanzania Bara,
Wengine wanakwambia Tanganyika imevaa koti la muungano eti ndio Tanzania,
Tanganyika haijavaa koti la muungano, ilipoteza nafasi kama nchi lakini cha kushangaza zanzibar ina jeshi, bendera,katiba mpaka rais lakini tanganyika haina ivyo vyote
 
Katiba hata Chadema wanayo na wale walinzi wao akina Boniyai plus Bendera na Wimbo wao wa.Pipooooz Pawaaaa 😂
 
Back
Top Bottom