Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JWTZ imekuwa ikifanya kazi vizuri kulinda mipaka ya nchi na Amani sambamba na kufanya whistle blowing kwenye TEUZI za kikimbizi.
Pamoja na yote haya, bado kwangu wanasiasa wananguvu sana...
Habari Wana JF , samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaonii ahsanteni 🙏
Nabii Mkuu,kada kindakindaki wa chadema Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kaskazini asipoangalia makonda anaweza kumtengenezea zengwe hapo Arusha
Bila shaka...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako.
Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya...
Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level
All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.