Recent content by xixi

  1. xixi

    Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    😀😀hpo kwenye usiniogope ndo ataanza kuniogopa, ataniacha na bado atabaki na maswali..
  2. xixi

    Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    Kama unajua umuhimu wa finishing hata kwenye ujenzi utaacha hii tabia ya kuomba namba bila kuwa na sababu za msingi, Binafsi hii tabia inanikata. Unakuta mkaka ushampia hesabu zako halafu anapotea na namba yako.😇
  3. xixi

    Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

    Mtu mpaka anakuwa single maza kuna sababu kadha wa kadha ikiwemo kutalikiana na kifo cha baba watoto nakadhalika, sasa huku Tz naona imebase kwa walioachwa au kuachana. Tatizo wadada mnaosema hawajazaa wakiwapiga matukio mnakausha hamji kuwasanua wenzenu huku. Mnaishia kujiua...
  4. xixi

    Ney wa Mitego kawatolea ngoma ''Kataa ndoa''

    Una hoja mkuu, usikilizwe!
  5. xixi

    Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Tutaenda kuyapumulia kwa Mungu tu.
  6. xixi

    Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Mbona uzi umekaa kimitego sana😃 Hali njema Mkuu. Sema ni hivi, unajua kibinadamu huwezi kosa dosari ukawa fiti fitings, kwahiyo kama unapumua sema alhamdulillah. Ukisema sina ela kuna mwingine anayo ila anaugulia kidole. Ukisema unaumwa kucha mambo yote safi, kuna mwingine haumwi ata mkono...
  7. xixi

    Foleni ya mapenzi haiendi, haisogei, shida iko wapi?

    Bando la kutetea haki za masikini wenzangu mitandaoni..😷
  8. xixi

    Foleni ya mapenzi haiendi, haisogei, shida iko wapi?

    Masikini mtuachee jamani 😀 Mshatusema sana, msituweke na huku
  9. xixi

    Ukweli kuhusu Utu

    No. 12 aminia sana
  10. xixi

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Mwanamke bila uvumilivu hujawa mwanamke, kwa maana mitihani hiyo ipo mpka kwenye ndoa, fikiria umeolewa halafu unaletewa kitoto cha nje ulee. Mungu akupe uvumilivu wa kike uweze kustahimili.
  11. xixi

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Kama anauwezo wa kuwa kwenye dating app, nna walakini anaweza kuja hapa kushiriki kutoa ushauri nini afanyiwe..
  12. xixi

    Wanaume tubadilike

    Duh. Kumbe?!..🤔
  13. xixi

    Unadhani ni jambo gani ambalo Watu wengi hawalifahamu kuhusu kupata Mtoto/Watoto?

    Inategemea, baadhi uchungu wa kawaida kama uchungu uliopata ulivyotahiriwa. Wengine uchungu mkubwa mpka wanapoteza maisha.
Back
Top Bottom