Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi huwezi kujua atafanya nini.
Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake akitegemea mwanamke atamsamehe na kumpuuzia kumbe mke wake alikuwa hajasamehe usaliti aliofangiwa na mume...
Hii ilishawahi kukutokea? Na ulichukua hatuna gani?
Wadada Kwa wakaka itaneni hapa..
.
Ulishawahi kuwa kwenye mapenzi yenye Mikasa ya ajabu mara fumanizi na vitimbili vya Kila namna?
Hatari! Kuna rafiki yangu alipitia magumu kwenye mahusiano yake usaliti, vipigo, masimango na vitu kibao. Siku...
Watanzania wengi tumekuwa na ndoto na malengo ya kutaka Tanzania yetu kuwa yenye maendeleo na vile tuitakayo, baada ya uhuru wa Tanzania mikakati mingi iliwekwa Ili kuletea maendeleo Kwa watanzania. Baba wa taifa mwalimu Julius K. Nyerere aliweka mikakati thabiti Ili kukuza maendeleo Kwa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.