Ni kweli mchina anafanya biashara kihuni huni tu!! Yaani serikali inatoa ruzuku kwa makampuni binafsi ili kupunguza gharama za uzarishaji, kupelekea bei za bidhaa zao kuuzwa kwa bei ya chini, ktk nchi za nje, michezo hiyo ndio hufanyika hata kwenye makampuni ya ujenzi wa Bala bala afrika, ndio...
Halafu mitanzania ilivyo misukule inawaamini watu kama nyie,!! Mtu anayetaka kuwatoa kwenye mikono ya mkoloni mweusi, anaonekana anataka kuvuluga nchi, ili muendelee kufaidi tu. Ila yana mwisho tu.
Sasa kama viongozi wenyewe ndio wapenda sifa!! Kwanini watu wasione kama hiyo ndio fulsa? Ya kujipatia pesa na vyeo!! Hii ajira ilianza kipindi cha jiwe na bahati mbaya watu wameshajua inalipa!! Sasa kibaya zaidi wengine huko mtaani wanatumika tu wajanja, kuna mmoja huko Iringa nadhani, aliponea...
Huyo maalim seif licha ya kuwa anapata 3/4 ya kura zote za Zanzibar ni lini alitangazwa kuwa rais wa zanzibar?!! Jibuni hoja kwani Samia sio mzanzibar?
Sasa muungano gani unayenufaisha upande mmoja tu? Hao wanzanzibar wenyewe ukiwauliza vipi muungano wanaukataa licha ya faida hizo wanazonufaika nazo, wakiamini kuwa wakiwa nje ya muungano kuna manufaa zaidi!!
Mkuu ndoa sio kama kanuni kuwa 1+1=2 wangapi wameoa tena wanawake bikra lakini ndoa zimevunjika kisa wanawake kuwa mapepe!! Na wangapi wameoa wanawake wenye watoto lakini ndoa zikadumu?!! Hayo ni maneno ya vijiweni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.