Search results

  1. white wizard

    China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

    Mchina ana ushindani huru gani?!! Wa kuyapa pesa makapuni yao, ili waweze kupunguza bei za huduma/bidhaa, kuwashinda wengine?!!!
  2. white wizard

    Tetesi: Serikali kuburuzwa mahakamani kuhusu wizara ya afya kubadili mitaala ya vyuo vya afya vya kati bila kufuata utaratibu

    Kwa mahakama hizi?!! Hata hizo chache ambazo serikali imeshindwa wamekuwa wakikataa kutekeleza hukumu ya mahakama, na hakuna wa kuwafanya kitu!!
  3. white wizard

    China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

    Ni kweli mchina anafanya biashara kihuni huni tu!! Yaani serikali inatoa ruzuku kwa makampuni binafsi ili kupunguza gharama za uzarishaji, kupelekea bei za bidhaa zao kuuzwa kwa bei ya chini, ktk nchi za nje, michezo hiyo ndio hufanyika hata kwenye makampuni ya ujenzi wa Bala bala afrika, ndio...
  4. white wizard

    Waziri Ummy haishiwi vituko

    Uchawa nao umekuwa ni kigezo cha kutetea nafasi yako
  5. white wizard

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Mimi mkulima natatua zangu shambani huku. Wewe ndio unatakiwa ku prove hayo sio mimi
  6. white wizard

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Tatizo lake huwa hafikirii mambo!! Wewe kama RC, jambo liko mahakamani, na lingine limeshatolewa hukumu, unawezaje kumsaidia mtu?!!!
  7. white wizard

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Ni ngapi ambazo anauwezo wa kuzitatua kama RC?? Ni kutafuta kick tu,
  8. white wizard

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Watapokeaje taarifa wakati sheria ipo wazi kuwa mtu akipotea ili kufungua taarifa lazima yapite masaa 24?
  9. white wizard

    Lissu ndiye Mtetezi Namba Moja wa Haki na Umoja

    Bora hata mkoloni mweupe kuliko hili jeusi!!
  10. white wizard

    Lissu ndiye Mtetezi Namba Moja wa Haki na Umoja

    Halafu mitanzania ilivyo misukule inawaamini watu kama nyie,!! Mtu anayetaka kuwatoa kwenye mikono ya mkoloni mweusi, anaonekana anataka kuvuluga nchi, ili muendelee kufaidi tu. Ila yana mwisho tu.
  11. white wizard

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Sasa kama viongozi wenyewe ndio wapenda sifa!! Kwanini watu wasione kama hiyo ndio fulsa? Ya kujipatia pesa na vyeo!! Hii ajira ilianza kipindi cha jiwe na bahati mbaya watu wameshajua inalipa!! Sasa kibaya zaidi wengine huko mtaani wanatumika tu wajanja, kuna mmoja huko Iringa nadhani, aliponea...
  12. white wizard

    Chadema wameamua kujifunga goli wao wenyewe.

    Huyo maalim seif licha ya kuwa anapata 3/4 ya kura zote za Zanzibar ni lini alitangazwa kuwa rais wa zanzibar?!! Jibuni hoja kwani Samia sio mzanzibar?
  13. white wizard

    Maajabu ya Zanzibar, hawalimi, hawafugi lakini wanakula wanashiba

    Sasa muungano gani unayenufaisha upande mmoja tu? Hao wanzanzibar wenyewe ukiwauliza vipi muungano wanaukataa licha ya faida hizo wanazonufaika nazo, wakiamini kuwa wakiwa nje ya muungano kuna manufaa zaidi!!
  14. white wizard

    Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

    Mkuu ndoa sio kama kanuni kuwa 1+1=2 wangapi wameoa tena wanawake bikra lakini ndoa zimevunjika kisa wanawake kuwa mapepe!! Na wangapi wameoa wanawake wenye watoto lakini ndoa zikadumu?!! Hayo ni maneno ya vijiweni
  15. white wizard

    Simba ni kubwa kuliko Kibu

    Kwanini huna mnakuwa na mambo ya kipuuzi sana mashabiki wa soka Tz?!! Mpira ni maisha na sio sifa, yaani aache kutafuta kwenye mafao mazuri eti abaki simba tu?!! Acheni hizo,
  16. white wizard

    CCM tupunguze mihemko na uchawa, Lissu asikilizwe

    Ukiwa ni mwana ccm hata uwe Prof. Lazima tu uwe na akili za kushikiwa, kwani wanachowaza na matumbo yao!!
  17. white wizard

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kwani kuna mtu amesema hakuna watanganyika wanaofanya kazi zanzibar?!! Kinachozungumziwa hapa ni nani mnufaikaji mkubwa wa huu muungano, mbona lisu amefafanua vizuri, eti li ccm linakuja na hoja nyepesi eti tumeoleana!! Jibuni hoja hizo
Back
Top Bottom