Recent content by Wakipekee

  1. Wakipekee

    FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    Young Africans [emoji169][emoji172] Tunahitaji kombe lingine lenye hadhi sio paratuparatu [emoji1787][emoji23]
  2. Wakipekee

    Nautafuta huu wimbo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] We jamaa umenichekesha Sana we utakua mkurya si Kwa ubabe huo... Anyway sijui kama umeupata ila huo wimbo ni Appy tz... Unaitwa Watu Feki .. "Siku mbili zimepita sijakula... Nina stress ..."
  3. Wakipekee

    Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

    Yanga atachukua tena 24/25 pia 25/26 na 26/27
  4. Wakipekee

    Unakumbuka nini kuhusu Wimbo wa TATHMINI wa Profesa Jay na Jay Moe?

    Dah enzi hizo Mcee anaingia chimbo kuandika vitu kuntu...
  5. Wakipekee

    Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Ikibidi wabaki hukohuko waanzishe ligi Yao na Samaki [emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Wakipekee

    Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Mi nshampigia boss usiku huu kua naumwa Niko Hoi bin taabani [emoji16] bahati nzuri kazini mi sio mtu wa kuongelea mambo ya Mpira hivo nimeeleweka kirahisi kabisa... Leo ni siku kubwa Sana kwetu wananchi [emoji2] Mtibwa 0 Yanga 3 [emoji169][emoji172]
  7. Wakipekee

    Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

    Bob bado Tu unamkimbizaga Kanji? [emoji2957]
  8. Wakipekee

    Tetesi: Kuna Redio inawamendea B12, Adam Mchomvu na DJ D Ommy

    Dah kweli tumetofautiana mtu alifanyaga niache kusikiliza XXL NI huyo Kennedy yaani jamaa simkubali kabisa kipindi kinakua na utoto na vitu vya hovyo.... To be honest B dozen ndo mtu hatari Sana kwenye Ile show .... Natamani ungeisikiliza XXL ya Dozen, Mchonvu na DJ fety
  9. Wakipekee

    Musonda kumpisha Dube

    Dube ana skills kuliko Musonda hii iko wazi... Dube anaweza kufunga Goli kwenye angle ngumu rejea Goli alilowafunga Simba last season ni Outer moja matata Sana sijui Kwann alikua Goli Bora la msimu labda Kwa sababu wanaogawa tuzo n walevi.! Kazi ya forward ni kufunga sio kukimbia kimbia hovyo...
  10. Wakipekee

    FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    Ngumu sana tena Sana mtibwa tutawapiga kama ngoma
  11. Wakipekee

    FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    Nachojua Yanga Bingwa [emoji2957] Acha wafu wazikane
  12. Wakipekee

    Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

    Kama hawa ndo watanzania CCM itatawala miaka nenda rudi
Back
Top Bottom