Kuna hii ;
Swedish Institute Scholarships for Global Professionals (SISGP)
Moja ya Scholarship rahisi kabisa kufanya application yake na kama una vigezo pia ni rahisi kupata.
Pia hawahitaji TOEFL/IELTS.
kazi inabaki kuwa kwenu;
Swedish Institute Scholarships for Global Professionals | Swedish...
Siku hizi Materilas yote yapo Online,pia ukifanya registration wanakupa materials zaidi unaweza nunua vitabu yako ukitaka ila kwa hakika kila kitu kipo Mtandaoni.
Kwanza nikuulize kwanini unagopa kufanya TOEFL/IELTS?kifupi ili kupata scholarship nzuri hizo papers hazikwepeki na huo ni ukweli,tafuta pesa jiandae,weka mikakati ya kusoma na utapata hiyo 6.5(IELTS) au 90(TOEFL).
Ila kwa haraka haraka ,kuna scholarships hapa ambazo unaweza kupata bila hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.