Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Kalynda ndio nini mkuu

Kwa nnavyofaham mimi; Kalynda ni Platform ambayo inajihusisha na kitengo cha masoko ya makampuni yanayofanya biashara mtandaoni... Mfano mimi nna kampuni yangu na nauza vitu mtandaoni... lakini kabla mteja hajanunua kitu kwangu atahitaji kujua uzoefu wangu katika mauzo... hapo ataangulia ranking ya mauzo sokoni ukinilinganisha na platform nyengine... na hapa ndipo Kalynda walipotengeneza platform ambayo inashirikiana na kampuni mbalimbali kuongeza selling ratings katika masoko yako... ili kujijengea uaminifu kwa wateja na kutanua soko la kampuni husika!
 
Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
Kuna shida kubwa sana kwenye elimu yetu haswa ya msingi. Hata hueleweki hiyo Kalynda ni nini kwanza. Alafu wadau wakikwambia wewe ni tapeli unang'aka.
 
Hee hee hee ngoja kwanza nicheke mbongo akuite kwenye fursa kweli aaaah wapi jua hiyo ni fursana sanasana ww ndiyo........ Mtamalizia

Mimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo
 
Kuna shida kubwa sana kwenye elimu yetu haswa ya msingi. Hata hueleweki hiyo Kalynda ni nini kwanza. Alafu wadau wakikwambia wewe ni tapeli unang'aka.

Kalynda E-Commerce Ltd work with many merchants to help them increase store sales, improve store reputation, and help merchants achieve higher sales and higher profits in the future.
The job content is to help merchants increase online reviews of products on e-commerce platforms such as Shopee and Zalando through the Kalynda platform, help merchants quickly create popular products, improve online rankings, and help merchants gain more online exposure. Product promotion commission.
 
Back
Top Bottom