Wasikutishe, hawana uwezo wa kukufanya lolote na wala usizime simu.
Hao ni matapeli tunagawana hiyo faida ya pesa za Utapeli wanazotapeli watu wenye hofu na Polisi.
Mimi nimeshawanyoosha, siwalipi na namba zao nimeblock matapeli wakubwa hawa.
Uliona wapi upate kwangu laki moja halafu Mimi umenipa 40,000?
Kama hujui hesabu hawa jamaa ni matapeli wa kisasa wanaotumia mifumo halali ya kipesa kutapeli, sasa Dawa yao kwa wajanja wenzao kina sisi, ukishachukuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.