Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya .
Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara.
Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
Nakumbuka mara yangu ya kwanza napeleka barua ya kujitolea ilikua ofisi za TRA pale Stesheni asee nilikutana na bro mmoja alinivunja sana moyo kwa dharau na kejeli alizonifanyia pasipo kujua uhalisia wa situation nayopitia .
Lakini katika izo kejeli zake alinifundisha kitu kujipa thamani na...
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji?
Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Bado ni chache sana mkuu watu tuliomba intern tukakosa tukaomba kazi za migahawa na hotel ambako unajua uhakika unapata nako tulikosa ila tamaa hatukuwahi kukata japo tulikubali maisha ya kushindia miogo hadi tukachakaa ila tulisimama tena na sasa tuko vizuri
Sitamkubali nakumbuka mwaka 2019 kipindi nahustle alitangaza nafasi za uhudumu kwenye migahawa yake sehemu ya usaili ilikua leaders club dah asee ule usaili walihudhuria sio chini ya watu 3000 alichoniboa alikua anaturecord na makamera yake kipindi kile nadhani ndo anamiliki dira tv ,anatulecord...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.