Recent content by The Transporter

  1. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Duh pole kada ngumu kidogo ila usikate tamaa
  2. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Never give up mkuu Mungu atatenda tu
  3. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama umefika oral kada nyingine kaka kwa kutulia tu mkuu wakati wako ukifika utaitwa tu ni swala la muda
  4. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Niliwahi kukosea cheti vyeti vya academic ilibidi niwapigie wanitolee mwenyewe huwezi
  5. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole badirisha vyeti kwenye portal mkuu weka vya udereva kapige usahili ukitoboa ukaingia kwenye system baadae unabadirisha fani juu kwa juu huku ukilamba asali madereva ni ma last born wa utumishi wa umma
  6. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wacha wapambane mkuu life Yao ngumu sana vijijini huko wengine wanagonga mpk bundi wanaaga dunia
  7. The Transporter

    Maji hayana ku expire

    Uwongo mtupu maji wameshayaka ma chemical kibao lazima yawe na expire kitu ambacho hakiaribiki daima ni asali tu
  8. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Watendaji wa kijiji sasa hivi wamepumzishwa kidogo
  9. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tunawakaribisha utumishini
  10. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Zingatia ilichosema Ngulumto lakini cha kuongezea jitahidi kuwa smart pia kimavazi na ukiingia chumba cha usahili usikimbilie kukaa kwenye kiti subiri wakukaribishe hivyo ni vitu vidogo lakini vinakuongezea ufaulu
  11. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    HS CODE unyama mwingi
  12. The Transporter

    HIVI WATU WANAOTOA LUGHA CHAFU ZA MATUSI KUNA NINI NYUMA YAKE?

    Hapo utakuta kuna malezi, mfumo wa maisha unamzunguka, mawazo ya ugumu wa maisha, wivu usipokuwa na akili na wengine wamelogwa kuwa hivyo
  13. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole ila tii sheria bila shuruti hicho unachokiomba hakiwezekani na ukikaidi sie watumishi wa umma tutakushughulikia kulingana na sheria iliyowekwa na jamhuri. Timiza vigezo vya ajira practice your carrier utatoboa tu usahili hata kama wewe ni mtoto wa mkulima.
Back
Top Bottom