Search results

  1. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama umefika oral kada nyingine kaka kwa kutulia tu mkuu wakati wako ukifika utaitwa tu ni swala la muda
  2. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Niliwahi kukosea cheti vyeti vya academic ilibidi niwapigie wanitolee mwenyewe huwezi
  3. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole badirisha vyeti kwenye portal mkuu weka vya udereva kapige usahili ukitoboa ukaingia kwenye system baadae unabadirisha fani juu kwa juu huku ukilamba asali madereva ni ma last born wa utumishi wa umma
  4. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wacha wapambane mkuu life Yao ngumu sana vijijini huko wengine wanagonga mpk bundi wanaaga dunia
  5. The Transporter

    Maji hayana ku expire

    Uwongo mtupu maji wameshayaka ma chemical kibao lazima yawe na expire kitu ambacho hakiaribiki daima ni asali tu
  6. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Watendaji wa kijiji sasa hivi wamepumzishwa kidogo
  7. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tunawakaribisha utumishini
  8. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Zingatia ilichosema Ngulumto lakini cha kuongezea jitahidi kuwa smart pia kimavazi na ukiingia chumba cha usahili usikimbilie kukaa kwenye kiti subiri wakukaribishe hivyo ni vitu vidogo lakini vinakuongezea ufaulu
  9. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    HS CODE unyama mwingi
  10. The Transporter

    HIVI WATU WANAOTOA LUGHA CHAFU ZA MATUSI KUNA NINI NYUMA YAKE?

    Hapo utakuta kuna malezi, mfumo wa maisha unamzunguka, mawazo ya ugumu wa maisha, wivu usipokuwa na akili na wengine wamelogwa kuwa hivyo
  11. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole ila tii sheria bila shuruti hicho unachokiomba hakiwezekani na ukikaidi sie watumishi wa umma tutakushughulikia kulingana na sheria iliyowekwa na jamhuri. Timiza vigezo vya ajira practice your carrier utatoboa tu usahili hata kama wewe ni mtoto wa mkulima.
  12. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hao jamaa nilikutana nao dom mwaka huu walifanya oral pale walikuwa zaidi ya mia 3 na toka wameanza kuitwa sidhani hata mia wamefika hivyo wategemee sana kwenye mapdf hao hiyo kada hawapoi
  13. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hatari hawa jamaa kila mkeka wapo hata ukiwa wa page 1 hawakosekani
  14. The Transporter

    Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

    Ni sahihi kabisa moja ya weakness ya Instagram ni ulaji wa bandle sana wengi wanaingia kule kwa matukio maalumu labda amesiki taarifa flan inapatikana huko ataingia mara moja na kutoka
  15. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongereni mliolamba asali pdf la leo
  16. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu kuwa mpole tu pdf lingine ni mpk mwezi wa sita tuendelee na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa
  17. The Transporter

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Unaweza kuona kama udsm wanaajili sana kumbe kuna watu wakishathibitishwa wanapakimbia hivyo wanalazimika kuajili upya
Back
Top Bottom