Recent content by system hacker

  1. system hacker

    Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Kama una clip ya matukio mkutano wa Kariakoo tunaomba share hapa kwenye huu uzi
  2. system hacker

    Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  3. system hacker

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Zikaangaliwe na nani? No body cares
  4. system hacker

    Chanzo cha matatizo ya Kodi ni 'Bunge' lakini watu wengi hawaoni

    Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi. Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili. Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
  5. system hacker

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Halafu mjadala wote hauwazungumzii wabunge. Yaani wali miss target mno mno
  6. system hacker

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Na alivyo arrogant dah....atakuwa kamaindi sana hahaha
  7. system hacker

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Km hivyo ndivyo ulivyo siasa usijaribu. Kule ni ku practice unafiki na kiwango cha juu sana
  8. system hacker

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Mfumo hapana. Why? - sababu inawaingizia mapato. So, lazima scape goat aliwe kichwa kutuliza hali
  9. system hacker

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Unawajua wanasiasa vizuri? Hawafanyi maamuzi kwa msukumo wa logic bali kwa kuendana na upepo wa wapiga kura
  10. system hacker

    Majaliwa anastahili kuwa kiongozi mkubwa. Ana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya wananchi

    Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia. Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in...
  11. system hacker

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Dah hii inchi ngumu sana mzee
  12. system hacker

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Tanzania bunge halina umuhimu. Ni mhuri unaotumika na ma godfather kulamba asali
Back
Top Bottom