Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

Unawajua wanasiasa vizuri? Hawafanyi maamuzi kwa msukumo wa logic bali kwa kuendana na upepo wa wapiga kura
Binafsi ningekuwa mwanasiasa na Nina msimamo wangu Niko radhi nipoeze nafasi ila nisimamie nachoona kinafaa na naweka wazi kabisa..

Kama watafanya maamuzi Kwa.muktadha wa upuuzi kisa chuki binafsi za Kisiasa is okay.
 
Aisee Leo Muigulu kafedheheshwa hatari..
Watu wakawaida wanamjia juu kama mtoto wana itukana PHD yake na kuita ya kazi gani. nilimuona alikuwa ana hema kwa uchungu na aibu.

Maana karibia watu wa 4 wote wana mshambulia
 
Aisee Leo Muigulu kafedheheshwa hatari..
Watu wakawaida wanamjia juu kama mtoto wana itukana PHD yake na kuita ya kazi gani. nilimuona alikuwa ana hema kwa uchungu na aibu.

Maana karibia watu wa 4 wote wana mshambulia
Na alivyo arrogant dah....atakuwa kamaindi sana hahaha
 
Kwasababu wamehusisha viongozi wa biashara Tanzania nzima wamewajengea umoja hivyo zisipochukuliwa hatua kifuatacho sio mgomo wa kariakoo Bali Tanzania nzima
Wakigoma inakula kwao, hawatapata kipato. Wana familia, kodi, karo, etc Mwishowe njaa itawalazimisha wafungue tu.
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Hakuna wa kuondoka labda wapitiwe na changamoto ya kupumua.
 
Wote haoo
Waondoke waende wapi wakati wao wanatekeleza sheria zilizotungwa na bunge na kuidhinishwa na Rais.

Hao wafanyabiashara mengi ya wanayatuhumu hawana ushahidi kwa hiyo ni majungu

Kwa hiyo Rais hawezi kuchukua hatua ya kuwaondoa viongozi hao kwa kutumia kigezo cha hayo majungu yao.
 
Hadi unajiuliza hivi bunge lina umuhimu gani, watu wanasema vitu ambavyo bungeni hakuna anayeweza kuzungumza ayo.

Ingependeza leo vikao vyao wangewekewa screen wakaona ukweli wa hali iliyopo
Kwa kuna mbunge aliyechaguliwa kwa kura za wananchi !.
 
Kwa aina ya awamu tuliyonayo,hakuna mtu hata mmoja ataachishwa kazi.Lakini na bunge lilaumie sana kwa kila kitu kuitikia ndiyooo kwa sheria za kipuuzi kama hizi tunazoziona matokeo yake.
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Watasutwa tu afu waende wakalitizame.
 
Back
Top Bottom