Recent content by Suhendra

  1. Suhendra

    Huyu mjamaa simwelewi

    Wewe hukuwa muoaji bali ulitaka kupiga na kusepa acha wenzio wafurahie maisha
  2. Suhendra

    Wakuu nahisi nimeisharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena hapa nyumbani kwangu, simu imeniumbua

    Daaah. Nimelia sana😭😭 yote tisa hadi kuzaa njee ya ndoa yaani wewe kaka ungejuwa jinsi inavyouma unge kuwa ushajiwa muda huu.
  3. Suhendra

    Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

    Kukaa milele inategemea na makosa ulio Fanya wapo watakao kaa milele na wapo hawatokaa milele
  4. Suhendra

    Mwanamke jiandae kwa tendo la ndoa kwa kufanya haya

    Daah! Ni aibu kwa kweli kwanza walala je, bila kupiga mswaki duuh wanawake tunacha kujifunza hapa. Usafi unanogesha mapenzi 😋
  5. Suhendra

    Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Hatakiwi mpaka huyo mkristo awe muislam yaani aslim
  6. Suhendra

    Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Alieumbaa ndio aliekataza asiliwe
  7. Suhendra

    Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Utaratibu wa kuchinja tz uko pow wala hauna shida ndio maana hata waislam hununua nyama buchani
  8. Suhendra

    Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Hapo sawa, soma reply yako ya juu.
Back
Top Bottom