Recent content by Soulbrother

  1. Soulbrother

    Region’s eyes on Thika road expansion

    Nakubaliana na wewe... tatizo sio barabara ni mpango mzima wa mji... tunahitaji kuangalia mpango wa mji upya na kutafuta njia ya kudumu ya kupunguza tatizo hili sio short term solutions
  2. Soulbrother

    Naomba Mnikaribishe Baby Angel

    karibu :) I feel your soul... you need a brother like me :)
  3. Soulbrother

    Mwalimu afunga ndoa na mwanafunzi

    Mwalimu huyo angesubiri hadi amalize shule... ana muda mfupi tu
  4. Soulbrother

    Hi

    welcome karibu sana luv u alone
  5. Soulbrother

    Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

    hii noma ila kumbuka mtoto umleavyo ndivyo akuavyo... same applies to women... ukimwonesha mapema unataka magoli mengi kwa wiki, atakua na tabia ya kukupa nafasi hiyo lakini ukizembea mapema ndani ya ndoa baadae matokeo yanakuwa kama haya... kwa sasa ongea nae, weka mambo wazi kuhusu mahitaji...
  6. Soulbrother

    Mastaa wa Kibongo huwekwa kinyumba?

    Mbona wapo wengi... tukianza kuwataja aibu kwani tutajaza thread zote hapa
  7. Soulbrother

    hospitali zetu jamani! am FED up

    Pole mkuu, wanasahau kuwa mteja ni mfalme
  8. Soulbrother

    hospitali zetu jamani! am FED up

    Nilifika hospitali moja kubwa iliyopo maeneo ya Mikocheni juzi, jumatatu... sikukuu ya pasaka, baada ya kuhisi nina homa kali Niliingia chumba cha kumwona daktari nimwelezee matatizo yangu baada ya kulipa Tsh10,000 consultation fee na nilikutana na harufi mbaya sana. Daktari huyo mwenye asili...
  9. Soulbrother

    Barua za Shaaban Robert

    Ningependa kupata nakala ya kitabu hiki lakini sijui kinapatikana wapi. Wadau, naomba msaada... ni pm kama unafahamu wanapokiuza na bei yake
  10. Soulbrother

    Guess who?

    tunahitaji kumrudia mungu wetu na kutubu dhambi zetu
  11. Soulbrother

    Binadamu aliyegeuka kuwa panya!

    photo shop photoshop photo shop.
  12. Soulbrother

    Vodacom, jamaani Vodacom

    Nina laini ya voda lakini siitumii kwasababu mtandao wao unasumbua haswa muda wa chekatime na gharama zao sio user friendly. N
  13. Soulbrother

    Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

    pole ndugu yangu
  14. Soulbrother

    Black Consciousness BY Steve Biko

    i totally agree with you. Tatizo sio rangi yetu bali ni utamaduni wetu. Tumejifunza kunyenyekea rangi nyeupe na kutaka kupata vitu bila ya kufanya kazi kwa bidii. Hatuna utamaduni wa kuweka akiba, kuwekeza na kufikiria kuhusu kesho. Tunataka starehe huku mapato yetu ni madogo. Tusipofaulu...
  15. Soulbrother

    Wakati wa laga!

    larger Laga better laga :)
Back
Top Bottom