Recent content by sister

  1. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wazima jamani, nimewamiss sana.
  2. sister

    Kupotea 'kutekwa' kwa Nondo: Picha iliyotengenezwa kishamba

    Hivi Akwilina alikuwa nani??? Mpaka risasi ikaenda juu ikarudi then ikakataa kona ikampiga yeye na umauti ukamkuta palepale.
  3. sister

    Hivi huyu ni Dr. Charles Kimei wa CRDB ninayemfahamu au wa leo labda alikuwa ni Pacha wake?

    Ndiyo shida ya kupangiwa cha kuongea. Unakuwa si wewe tena unavikwa huusika wa mtu mwingine. Na ndiyo maana sifa zake zile uzijuazo haujamwona nazo leo. Regards Sister
  4. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hongereni kwa ushindi mashabiki wenzangu.
  5. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jamani hongereni kwa ushindi, dah majukumu haya yanatufanya tupotee kabisa jukwaani.
  6. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal mmechana mkeka.
  7. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naona mnaendeleza ushindi toka sanchez aondoke. Hongereni sana.
  8. sister

    Je, mabasi ya mwendokasi ni ya abiria au ya kubeba mizigo?

    Hakuna daladala zinazotoka posta ama kariakoo kuja mbezi ama kimara. Zipo mwendokasi tu. So apambane na hali tu. Otherwise anunue kagari kake.
  9. sister

    Je, mabasi ya mwendokasi ni ya abiria au ya kubeba mizigo?

    Kwa hali ilivyo sasa unadhani zile gari za 2000 zipo? Watu hawapandi ndiyo maana tunang'ang'ana na mwendokasi.
  10. sister

    Je, mabasi ya mwendokasi ni ya abiria au ya kubeba mizigo?

    Asa unataka abiria mwenye mizigo akapande gari gari??? Mfano huyo mama anayetoka feri na samaki wake apande nini?? Ukizingatia posta hakuna gari la kimara wala ubungo wala la mbezi. Unataka atembee kwa miguu kisa kabeba mzigo????
  11. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Eti livescore, umenichekesha. Ndiyo zangu siku hizi ni mwendo wa livescore mana majukumu yamenibana.
  12. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sawa nasi tumempokea.
  13. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hongereni kwa ushindi.
  14. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    mmmmh wakati roho zinawauma.
Back
Top Bottom