Recent content by sinza pazuri

  1. sinza pazuri

    Beki Lameck Lawi amesaini Simba kwa ajili ya msimu wa 2024/2025

    Beki wa kati wa coastal union Lameck Lawi amesajiliwa na Simba SC. Mkataba wake ni miaka miwili.
  2. sinza pazuri

    Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

    Lissu hana uzalendo wowote ni mla rushwa na opportunist. Watoto wake wote ni raia wa Marekani, anakuwaje anaipenda Tanzania?
  3. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Ukiondoa Majani hakuna producer mwenye hits nyingi kumshinda S2kizzy kama yupo mlete hapa. Producer tunampima kwa hits, numbers na impact sio umependa vinanda vya Pancho unasema hakuna kama yeye tuletee supporting evidence.
  4. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    70% ya nyimbo zilizoenda za Mika ni dance hall sababu kubwa wakati huo dance hall ilikuwa juu kama amapiano sasa hivi, nyimbo kubwa zikitoka Jamaica lakini pia S2KIZZY anatengeneza miziki yote hiphop, bongofleva, RnB, zouk na afro fusion. So hakuna kitu Mika kafanya zombie hajafanya. Pengine...
  5. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Kwa mujibu wa vijana wa 90s hakuna msanii wala producer wala muziki utakao kuwa mzuri kuliko wakati wao na yoyote ataetoka na kuonyesha namna amefanya mambo makubwa kuliko wasanii wa wakati wao basi atashambuliwa sana na kumwambia yupo kwenye zama nyepesi anatakiwa afanikishe vitu vyake kwa...
  6. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Producer kupotea ni lazima sababu muziki una kipindi chake na radha zinabadilika. Kina Mika mwamba walitengeneza dance hall muziki wa Jamaica sababu ndio ulikuwa juu wakati huo, lakini sasa ni wakati wa piano usipotengeneza watu wanaenda kwa anayezitengeneza.
  7. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Nenda club yoyote usiposikia nyimbo za Chino njoo nikurushie laki, inawezekana umri wako hauruhusu kuelewa sanaa inayofanyika zama hizi ila haiondoi uhalisia kuwa ni kazi nzuri watu wanafanya na wanaendesha maisha yao.
  8. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Maluma anajua kama tetema ni beat kali au lah
  9. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    S2KIZZY amefanya kazi kubwa na Nandy, Marioo, Rayvany, Lui, Weusi, Chino, Zuchu, Billnas, Darasa, Maluma etc Lui, Chino hawakuwa wasanii wakubwa ila kwenye zama hizi ngumu za muziki Zombie kawafikisha mjini.
  10. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Hakuna producer bongo asiyefanya sampling hajawai kutokea inaonekana unasikiliza sana naija music ndio maana unadhani sampling inafanywa miaka hii. Hujui muziki mkuu
  11. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Angelique kidjo anachukua grammy miaka ya 90 na hatokei Nigeria ila muziki wake ulifika maandishi matatu.
  12. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Aliyemzidi Zombie ni Majani tu. Hitsong za Zombie 2023 ni zaidi ya hits zote alizowai tengeneza Master Jay. Alafu mie nimezungumzia hitsong sijaongelea YouTube ndio maana nimemtaja majani ambae namba zake YouTube ni ndogo sana.
  13. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Mwaka 1991 mpiga ngoma wa kinaija anaitwa Babatunde anachukua grammy bila uwepo wa YouTube wala Spotify. Miaka ya 2000 kina master jay wanaleta excuse ya social media ndio maana hawakuonrkana kazi zao.
  14. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Hitsong haiitaji YouTube kuwa hitsong. Nyimbo za Chino wanaman hazina namba kubwa online lakini balaa lake unalijua mtaani. Zombie ni shughuli nyingine.
Back
Top Bottom