Search results

  1. sinza pazuri

    Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

    Nyasa ni mpambano team lissu (msigwa) Vs team mbowe (sugu).
  2. sinza pazuri

    Dickson Job na Ladack Chasambi wametemwa kwenye kikosi Cha timu ya Taifa

    Stars mpeni timu hata katwila au julio huyo mpemba akaimbe taarab
  3. sinza pazuri

    Ni Mimi tu au wote tunaona Pacome bado hajapona na ana struggle sana kucheza

    Okra hayupo kwenye mipango ya Gamondi. Hajamuelewa.
  4. sinza pazuri

    Ajabu na kweli hadi muda huu Hakuna Kamanda aliyeturipotia yaliyojiri MwembeYanga kwenye mkutano wa Tundu Lisu!

    Kama nembo ya chama tundu lisu ili ndio nyomi lake tena mwembeyanga utapata wapi nguvu ya kuongea
  5. sinza pazuri

    Serikali na Wasafi TV mlitakiwa muwe mmeshakuchukua hatua za kinidhamu kwa Makonda na Oscar. Ukimya wenu unamaanisha mmebariki udhalilishaji huo?

    Chadema hamnaga kazi ya kufanya mkiamka mnapayuka payuka mpaka jua lizame. Hivi hoja kama hizi zinawaongezeaje kura?
  6. sinza pazuri

    Mjadala East Africa Radio: Diamond ni mkubwa YouTube kuliko Jay Z

    Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana mavhachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube. Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
  7. sinza pazuri

    Request For Proposals To Provide Consultancy Services at Young Africans Sports Club (“Yanga”) May, 2024

    Request For Proposals To Provide Consultancy Services BACKGROUND Young Africans Sports Club (“Yanga”) founded in 1935 is a professional football club based in Jangwani, Ilala District, Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. Renowned fort its historical success, the club has secured a...
  8. sinza pazuri

    Tetesi: Aziz Ki anaondoka Yanga

    Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando. Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru. Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae...
  9. sinza pazuri

    Beki Lameck Lawi amesaini Simba kwa ajili ya msimu wa 2024/2025

    Beki wa kati wa coastal union Lameck Lawi amesajiliwa na Simba SC. Mkataba wake ni miaka miwili.
  10. sinza pazuri

    Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

    Lissu hana uzalendo wowote ni mla rushwa na opportunist. Watoto wake wote ni raia wa Marekani, anakuwaje anaipenda Tanzania?
  11. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Ukiondoa Majani hakuna producer mwenye hits nyingi kumshinda S2kizzy kama yupo mlete hapa. Producer tunampima kwa hits, numbers na impact sio umependa vinanda vya Pancho unasema hakuna kama yeye tuletee supporting evidence.
  12. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    70% ya nyimbo zilizoenda za Mika ni dance hall sababu kubwa wakati huo dance hall ilikuwa juu kama amapiano sasa hivi, nyimbo kubwa zikitoka Jamaica lakini pia S2KIZZY anatengeneza miziki yote hiphop, bongofleva, RnB, zouk na afro fusion. So hakuna kitu Mika kafanya zombie hajafanya. Pengine...
  13. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Kwa mujibu wa vijana wa 90s hakuna msanii wala producer wala muziki utakao kuwa mzuri kuliko wakati wao na yoyote ataetoka na kuonyesha namna amefanya mambo makubwa kuliko wasanii wa wakati wao basi atashambuliwa sana na kumwambia yupo kwenye zama nyepesi anatakiwa afanikishe vitu vyake kwa...
  14. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Producer kupotea ni lazima sababu muziki una kipindi chake na radha zinabadilika. Kina Mika mwamba walitengeneza dance hall muziki wa Jamaica sababu ndio ulikuwa juu wakati huo, lakini sasa ni wakati wa piano usipotengeneza watu wanaenda kwa anayezitengeneza.
  15. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Nenda club yoyote usiposikia nyimbo za Chino njoo nikurushie laki, inawezekana umri wako hauruhusu kuelewa sanaa inayofanyika zama hizi ila haiondoi uhalisia kuwa ni kazi nzuri watu wanafanya na wanaendesha maisha yao.
  16. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Maluma anajua kama tetema ni beat kali au lah
Back
Top Bottom