ijoz, Hii kitu nakubaliana nayo by all % sema upungufu wa hawa watu huwa kumage hela na kuikuza biashara waliowengi hawawezi yaani kwa kifupi fikra zao zinaishia apo apo japo wachache wao wanaweza kukuza biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHASHA FARMING, Kweli mkuu umenena huwezi pewa mtaji na taasisi yeyote kama haujaianza biashara teyari tena wanaenda mbali zaidi wakitaka kujua umekwishaifanya kwa muda gani
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.