Recent content by Scofied

  1. Scofied

    TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    karibu ofisin mkuu..hakuna linaloshindikana!
  2. Scofied

    TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    tv aina zote zinapatikana mkuu...kuanzia 21inches hadi 75inches....karibu dukani boss
  3. Scofied

    TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    azizidi dakika tatu mkuu.karibu!
  4. Scofied

    TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    Tunapatikana Arusha makao mapya mkuu...Zilipo ofisi ya Marangu Coach boss...karibu snaa!
  5. Scofied

    TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    Tunapatikana Arusha mjini,makao mapya Area palipo stand za Marangu Coach bus mkuu.karibu sana
  6. Scofied

    TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    sipo kwa mrombo mkuu...ofisi ipo makao mapya zinapopatikana office za Marangu coach bus...karibu!
  7. Scofied

    TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    Wakuu heshima kwenu..Tunauza tV za aina zote kwa bei poa sana...tunapatikana Arusha town hapa...kwa mahitaji yeyote nicheki kwa 0765360814 watsup na call kawaida .Karibuni sana.
  8. Scofied

    Msaada wa mawazo kuhusu Kuchaguliwa chuoni

    Kuna namna yeyote naweza wasiliana na nacte wazee..hata kwa number ya simu? Nisaidiwe number yao ya simu niwapigie kujua moja please!
  9. Scofied

    Msaada wa mawazo kuhusu Kuchaguliwa chuoni

    Heshima kwenu wakuu...dogo langu aliapply chuo cha uhasibu Arusha njiro ngazi ya cheti kwenye IT...kwenye kuripoti ikaonekna chuo walisahau kuingiza jina lake wakati wanatuma majina tamiseni... Sasa ni week ofisi ya usajili inaniambia kuna shida ya network saver ya Tamiseni so wanshindwa...
  10. Scofied

    Msaada wa mawazo kisheria

    Wakuu heshima kwenu Kuna sisi wazazi tulipeleka watoto wetu kusoma nje ya nchi (Ukraine) kabla ya vita kupitia hawa maagent matapeli Globel Education link, nawaita matapeli sababu wanachokifanya kwa sasa ni kama utapeli kuhusu hatima ya watoto wetu na pesa zetu tulizowalipa. Hawatupi...
  11. Scofied

    Naunga mkono uamuzi wa busara wa Rais Samia, Kuhusu mageuzi ya Polisi

    Binafsi niliamua kumuunfollow kwa sababu ya ushabiki wake usio na tija kwenye issue y Russia/ukraine.
Back
Top Bottom