Hakuna shida katika hizo billboards,mkuu.
Kama Umeenda chamazi utaona zipo karibu zaidi ya huo uwanja wa Amaan na wachezaji hawaumii.
Hiyo ya Soppu kujigonga ni ajali tu ambazo Huwa zinatokea viwanja vingi pindi mchezaji akifanya tackling.
Mara vyeti feki,mara minyoo ya nguruwe,mara Tundu Lisu.
Mbona hauko consistent kwenye mada? Hapa wanaongelewa magaidi wa msumbiji,ila mlikuwa mmeficha matako yenu kwenye mashimo mkisubiri kuanza mashambulizi.
Wapi mleta mada ametaja uislamu? Nimekujibu wewe na mwenzio kwa sababu mnajihami sana.
Kwa warembo wapo wengi tu.
Kwa uchache Kuna Karucee ,ana kingereza Fulani hivi utajua tu huyu ni masomo,alafu atakuwa ni mwanasheria.
Mdada Fulani hivi anaonekana anapenda kuvaa miwani.
Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda Depal atuambie. Ni mdada mrembo na...
Cheki ulivyo mdwanzi.
"Rogo ni ishu ya kisiasa" uko sawa kweli? Nani asiyesikiliza mahubiri ya huyo Shehe marehem? Au mnadhani mawaidha yake mnasikiliza peke yenu?
Mwaka 2017 nipo nimepanga zangu nyumba Moja na jamaa mmoja muislamu sana (jamaa alikuwa serious na dini vibaya). Siku Moja katika...
Kwa nini huyo Osama na Shehe Rogo wanapewa heshima kubwa miongoni mwa waislamu? Tena waislamu wengine wanaenda mbali na kuwabandika picha zao hadi kwenye magari hao waislamu wenye misimamo mikali kama Osama na Rogo.
Tatizo lenu nyie waislamu ni unafiki uliopitiliza. Mtu (miongoni mwenu)...
We nae tutolee huu ujinga wako na mapovu Kila comment bwana.
Kila siku mnakuja na jambo hilo hilo la uislamu unachafuliwa. Kwa kitu kipi cha maana mlichonacho hadi dini yenu ichafuliwe?
Ni swala la kuamini (Imani )tu? Yani mtu akibadili dini na kuwa muislamu,hiyo itaniathiri vipi Mimi nisiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.