Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Unamaanisha Tanzania hakuna kabisa chuo cha kufundisha urubani? Vipo sana kimoja wapo kikiwa cha mzee Omary pale JNIA Terminal One Dar na ndo mmiliki wa ndege za Tropical air. Kinaitwa Tropical Flying School. Sijalisoma hilo gazeti lakini sijaona ambacho kilikuwa kinakuchekesha mpaka uvunjike...
Hata mimi nasubiria majibu mkuu, maana mara nyingi namuona Star tv, tena wakati mwingine huwa ana pumba sana na utetezi wa kijinga kwa wafilisi wa nchi hii.
we mwache ajifanya ku pretend kwa mkewe. Akijua tuu tuu ndo yao itakuwa mashakani sana, ndo ataonja shubili ya mambo. Thamani ya kitu ulichonacho huwa haionekani, mpaka pale ambapo kitaanza kupotea ndo unagundua umuhimu wa kitu hicho. Atulie na mkewe, na asikaribishe migogoro kabisa maana huko...
Haya mkuu, wewe elewa vivyohivyo. Ukigegeda nje nawe mkeo atagegedwa nje na masela. How comes ukubali kuwa wewe unapendwa sana na mke wa mtu ili hali una mkeo? Je mkeo hakupendi? Wewe humpendi? Fikiria mpo wangapi? Then chukua hatua.
Ukifuata moyo wako ndo utakuwa sahihi. Ila ukikubali kuzaa naye na wewe mkeo atazaa na jamaa mwingine ili muwe sawa. Kwa kwa sasa mkeo naye anagawa nje bado tu kuomba kuzaa nje. Lazima muwe ngoma droo na mkeo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.