Search results

  1. Prof Gamba

    Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu

    Basi hujaelewa nilichoandika au unataka ubishani wa ulinganifu. Mi nimechagua late 10's sio early 20's.
  2. Prof Gamba

    Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu

    Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
  3. Prof Gamba

    E Tv Live Kigamboni muda huu

    Naona kwangu hamna sauti.
  4. Prof Gamba

    Leo Ni Siku Ya 12402

    Naisubiria vocha yangu, maana nimekuwa wa kwanza kupatia jawabu sahii. Vocha ya tigo au voda itakuwa poa JAYJAY
  5. Prof Gamba

    Leo Ni Siku Ya 12402

    Una miaka 34 mkuu JAYJAY
  6. Prof Gamba

    Dawa Ya Kiranja Mnoko Shuleni

    Hii naona inafanana ya Caigo miaka ya 2002 dom 14 kama sikosei kumhusu mchicha. Kama ndiyo umenikumbusha mbali sana mkuu.
  7. Prof Gamba

    Tanzania kufundisha marubani...

    Unamaanisha Tanzania hakuna kabisa chuo cha kufundisha urubani? Vipo sana kimoja wapo kikiwa cha mzee Omary pale JNIA Terminal One Dar na ndo mmiliki wa ndege za Tropical air. Kinaitwa Tropical Flying School. Sijalisoma hilo gazeti lakini sijaona ambacho kilikuwa kinakuchekesha mpaka uvunjike...
  8. Prof Gamba

    Shemale(mwanamke mwenye jinsia mbili)anataka kunioa..i need ur views pls..!!

    Ulimrambisha na hiyo nanilii?? Tuanzie hapo kwanza. Kama unampenda na kazi anaweza shida iko wapi?
  9. Prof Gamba

    Mzee Farijala ni nani hasa?

    Hata mimi nasubiria majibu mkuu, maana mara nyingi namuona Star tv, tena wakati mwingine huwa ana pumba sana na utetezi wa kijinga kwa wafilisi wa nchi hii.
  10. Prof Gamba

    Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

    we mwache ajifanya ku pretend kwa mkewe. Akijua tuu tuu ndo yao itakuwa mashakani sana, ndo ataonja shubili ya mambo. Thamani ya kitu ulichonacho huwa haionekani, mpaka pale ambapo kitaanza kupotea ndo unagundua umuhimu wa kitu hicho. Atulie na mkewe, na asikaribishe migogoro kabisa maana huko...
  11. Prof Gamba

    Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

    Haya mkuu, wewe elewa vivyohivyo. Ukigegeda nje nawe mkeo atagegedwa nje na masela. How comes ukubali kuwa wewe unapendwa sana na mke wa mtu ili hali una mkeo? Je mkeo hakupendi? Wewe humpendi? Fikiria mpo wangapi? Then chukua hatua.
  12. Prof Gamba

    Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

    Ukifuata moyo wako ndo utakuwa sahihi. Ila ukikubali kuzaa naye na wewe mkeo atazaa na jamaa mwingine ili muwe sawa. Kwa kwa sasa mkeo naye anagawa nje bado tu kuomba kuzaa nje. Lazima muwe ngoma droo na mkeo.
  13. Prof Gamba

    Test ur IQ- part 5

    Nilishasahau mkuu, maana ni kitambo kidogo.
  14. Prof Gamba

    Test ur IQ- part 5

    Ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mimi baada ya ku apply elimination method nikakuta inaisha, nikadhani ni utani maana ni swali la ki form two. Hizo nadhani angesema kabisa kuwa ni za waliosoma arts au BAM.
  15. Prof Gamba

    Huyu hapa mr bean wa tz

    Ha ha ha!!! Jamaa wakati wote anaigiza kama hamnazo. Huwa namkubali jamaa na staili yake ya uigizaji.
  16. Prof Gamba

    Test ur IQ- part 5

    Great mkuu. Nimejikuta nachukua pen na kulifanya nikijua labda kuna mtego wowote. Simultenous eq za form two.
  17. Prof Gamba

    kuna tofauti gani kati ya KUANGALIA,KUONA na KUTAZAMA

    See, look, watch. Najaribu kulinganisha lipi ni lipi hapo! Mmhh!!!! Lugha ni ngumu sana kwa kweli.
  18. Prof Gamba

    Ifunda tech secondary school ya chomwa moto

    Dah! Pole yao wale ambao hawakuchukua vyeti vyao. So sad na haipendezi kabisa.
Back
Top Bottom