Hatuna namna kwasasa maana ndiyo brand au equipment zilizopo kwenye fleet ya ATCL. Kwasasa tuendeleze hizohizo ila tusitafute zingine tofauti tena.
So far tuna marubani na huenda tumetrain wahandisi wa aina hizo za Ndege.
Mm nimeona at least hizo equipment ziko tailored kwa mazingira yetu...
Ungemalizia kwa kusema aina ya Ndege zinazokuja ingefaa zaidi.
Kwa kutaja aina tungejua kama zitafanya kazi au ni za kukaa kwenye eneo la maegesho kama ilivyo kwa zile kubwa mbili zinazootea jua.
Hiyo Kamati ishauri yote, lkn siyo masuala ya quarantine, yameshapitwa na wakati kwasasa.
Kikubwa tutakachodaiwa ni kutoa figures za waathirika as of now.
Lengo liwe tu kuwa at per na Jumuia ya Kimataifa tu.
Ile pesa ya CDC na WHO tutalamba tutaidirect kwenye kuadvance facilities zetu za...
Nimegundua leo kuwa kumbe Protocol ni tasnia nzito inayojitegemea kabisa.
Jibu la hii hoja ya mleta mada ni ni rahisi.
Rais, atawekewa Zulia Jekundu pale tu atakapokuwa anawasili nchini kutokea nchi nyingine ya jirani au ya ng'ambo, na pale anaposafiri kuelekea nje ya nchi yake.
Zulia jekundu...
Write your reply...
Nilipigiwa simu jana alfajiri na Jamaangu anayeishi eneo la UsaRiver akaniambia kuwa wako Kilimanjaro International Airport muda wa saa 1.00
Akaniambia kuwa wamefika hapo kuupokea mwili wa Rafiki yetu Freetown ambao umeletwa na Ndege ya Emirates.
Freetown alikuwa mfanyakazi...
Nimelazimika kurudi hapa kwa haraka sana ili kuungana na wenzangu nyote kumlilia mwanaJF mwenzetu Easymutant.
Kifo chake kimekuwa si cha kawaida, maana kimetustua sana. Kwa ufupi hakuna aliyetarajia kuwa jamaa angeondoka katika siku za karibuni.
Arusha Wing tumepata pigo kuu maana huyu jamaa...
Habari zenu ndugu wadau.
Ni siku nyingi kidogo tokea tumekuwa pamoja hapa.
Ila nimegundua kuwa bado tuko pamoja sana kimawazo.
Nawashukuru sana wadau wote wa hapa JF kwa support na wishes njema wakati wa shida kubwa sana iliyonipata ya kupotelewa na mtoto kwenye ajali ya wanafunzi kule Karatu...
Pole sana mkuu.
Kwa upande mwingine huu ni ushujaa, na wengi sana tuko nyuma yako, kwa sala, maombi na mapenzi mema. Unachopigania si chako na familia yako, bali ni kulinda heshima na maslahi ya Jukwaa.
Usione kuwa unateseka...bali kuwa unajenga ushujaa!
Nianze kwa kumshukuru sn Nyani Ngabu kwa thread hii ya pekee iliyotuibua wengi toka kwenye machimbo.
Kwa mimi binafsi kazi zangu za sasa hazinipi nafasi ya kutosha kuingia huku mtandaoni.
Lakini pia niushukuru uongozi mzima wa JF kwa kazi kubwa ya kutuunganisha wadau mbalimbali kwa kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.