Recent content by Nkerebhuke

  1. N

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Usije kudharau Nchi yako japo changamoto zipo, askari wa Marekani hua wakuja kutrain na maofisa wetu hapa usifikili niwajinga.
  2. N

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Ma CDO wengi wanaishi in disguise unaweza mkuta na ndevu au mtu simple akikupita pengine unaweza usiamini
  3. N

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Una dharaua sana dogo Una dharau wakati nyumbani kwako huwezi kuua hata mjusi, watu kama wewe ni watu mlienda shule kujifunza ujinga.
  4. N

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Haina mjadala tena huyo ndio yeye mwenyewe captain ambae pia ni CDO. Ukifika cheo cha captain unaweza kupewa jukumu ambalo ukitaka kufanikisha kitu unakuwa ni disguise. Yupo ambae aliwahi kuact kama kocha wa mpira kilichofata ni historia, yupo aliact kama muuza dagaa kigoma, mafuta ya mawese na...
  5. N

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Military actions are not for granted unless you want to go to hell. Usipende kujadili vitu kwa hisia kama kweli ulienda shule kujifunza namna ya kutumbua mambo. Hakuna anayeweza kuingia vitani kama ng'ombe kwa dunia ya leo ndio maana Marekani alionya Israel akijibu mapigo basi ayanywe mwenyewe...
  6. N

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Huwezi kupata taarifa rasmi kama huna independent mind kwa sababu kwenye media kuna biases nyingi sana. Maana yangu ni kwamba ukiwa umechukua upande ukikutana na taarifa tofauti ni zile unazotaka wewe utaona uzushi. Kwa mfano mgogoro wa mashariki ya Kati ni sehemu yenye propaganda nyingi sana...
  7. N

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Hufahamu kuwa kuna media bias pia, mfano aljazera wako symphasized na palestine unaweza kuwa misinformed kama huna independent mind. Misconception inatokea mara nyingi ukiwa unataka taarifa za upande mmoja.
  8. N

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Wewe hizo data umezipata wapi mbona hujaweka kumbukumbu rejea au ni maoni yako.
  9. N

    Nani anastahili huruma kati ya Israel na Palestine?

    Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
  10. N

    Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

    Wewe dogo unaakili au ulienda shule kujifunza ujinga, unafikili jeshi la wananchi hajui mahitaji ya technologia ya vita, nenda kikosi cha mzinga uangalie vijana wanafanya nini pale. Chuo cha maofisa TMA unafikili kuja wajinga pale, nakuambia sasa chuo cha maofisa kuna watu wanaakili pale wewe...
  11. N

    Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

    Vijana wengi wa Tanzania tuna shida katika kujadili mambo, mtu huna mafunzo yoyote ya kijeshi lakini unataka kuchangia. Note kuvunja matofari, kubeba magogo na shughuli zingine ni sehemu ya kuonesha ukakamavu tu wa cdo na wala si rangi halisi ya uwanja wa medani. Jeshi letu liko imara kimkakati...
  12. N

    Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

    Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote. Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe. Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
  13. N

    Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

    Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
Back
Top Bottom