Recent content by Night Watch

  1. Night Watch

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Kwa hiyo mashabiki wa Yanga ndio walikuwa wanazusha kwamba Pacome kafungiwa na Yanga wapokwe point kwenye mechi alizohusika Pacome? Nyie Simba sijui mna matatizo gani, badala muangalie timu yenu inafanya vibaya na kupata ufumbuzi wa kiwango kibovu kinachooneshwa na timu yenu, mpo bize...
  2. Night Watch

    Tupige kidogo ‘mastori’ ya Mchungaji Christopher Reuben Mtikila

    Atabaki kuwa kumbukumbu nzuri kwenye Jurisprudence ya sheria nchini kwetu mchango wake ni mkubwa sana.
  3. Night Watch

    FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

    Dk za jioni Namungo wanamaliza kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Night Watch

    Mamelodi ni Overrated, sijui ukubwa waliupataje

    Hamna timu pale, wale ni matapeli.
  5. Night Watch

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Hawa ni matapeli[emoji23][emoji23]
  6. Night Watch

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    VAR uarabuni inafanya kazi, alienda kutizama ili kupindua meza.
  7. Night Watch

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Mimi mwenyewe nimeshangaa lile ni clear goal, ule mpira ungegusa mkono ungebadili uelekeo.
  8. Night Watch

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Ule mpira haukugusa mkono, kama ungegusa mkono ungebadili uelekeo sema ndio hivyo refa nae kaamua kulingana na alicho ona yeye.
  9. Night Watch

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    VAR inafanya kazi uarabuni tu[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Night Watch

    Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

    Nadhani ni utaratibu wa ofisi na ofisi, mfano mimi ninako ishi sijawahi kuombwa fedha yoyote ili nigongewe muhuri wa serikali ya mtaa, nakumbuka miaka ya 2015's wakati naomba mkopo wa HELSB kwa ajili ya chuo niligongewa muhuri bila malipo yoyote, mwaka jana pia nilienda kuchukua barua ya...
  11. Night Watch

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Oya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Night Watch

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Tanesco wanapenda kuuzi watu[emoji35]
Back
Top Bottom