Kupitia mtandao wa ICSID kuna taarifa za kutia moyo kuwa Katibu Mkuu wa ICSID amesajili maombi ya kubatilishwa kwa tuzo yaliyowasilishwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa maombi hayo, ICSID imesitisha kwa muda utekelezaji wa tuzo iliyotolewa dhidi ya Tanzania kwenye kesi iliyofunguliwa...
Usipotoshe watu kwa masilahi yako. Lete video yote humu. Shida yetu watanzania hatujiongezi zaidi. Lete hapa habari kamili. Kesi ilikuwa inahusu nini na hoja za wenzetu zilikuwaje na sisi tulitoa utetezi gani?.
Naona hao kwanza wamejitahidi mno. Na sijui kana kesi hiyo inayotajwa ndio hiyo...
Wadau, yupo ndugu yangu ambaye anasumbuka kwa muda sasa na amejaribu vipimo sehemu nyingi. Ilianza kidogo kidogo sasa inamsababishia shida, hawezi kulala vizuri. Kichwani anasema anahisi kama kuna vitu vina nguruma na pengine sikioni na huwa ni kama kuna mvumo fulani na wakati mwingine...
Katika hukumu iliyotolewa leo tarehe 5 Agosti, 2020, Jopo la Majaji watano wa Mahakama ya Rufani limekubaliana na Serikali kuwa kifungu cha 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai ,Sura ya 20 ya Sheria za Tanzania kinachozuia dhamana kwa makosa makubwa ya jinai yakiwemo mauaji...
MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA YASIKILIZA RUFAA YA SERIKALI KUPINGA UAMUZI WA MAHAKAMA KUU KUFUTA KIFUNGU CHA 148(5) CHA SHERIA YA MWENENDO WA MASHAURI YA JINAI KINACHOZUIA DHAMANA KWA BAADHI YA MAKOSA
Jopo la Majaji Watano wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania likijumuisha Majaji Mhe. Jaji Mhe...
Shauri la Kikatiba Na.12 la mwaka 2020 lililofunguliwa na Asasi ya Civic and Legal Aid Organization dhidi ya Mhe. Spika, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Cecil Mwambe ili kupinga ubunge wa Mwmbe imetupiliwa mbali Leo tarehe 15 Juni,2020 na Mahakama Kuu.
Hii ni mara ya pili ambapo Mahakama Kuu...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge.
Mahakama Kuu kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.