Ni vizuri hopitali zikawa na mifumo ya CCTV. Itakuwa ajabu sana kama ICU haina CCTV cameras as anaweza tokea kichaa mmoja ama mfanyakazi au si mfanyakazi akamzimia mgonjwa mashine kwa sababu zake tu.
Jadili hoja yangu. Nimesema muda wa mradi na si whether mradi ni mzuri au mbaya. Jaribu kufuatilia miradi mikubwa kama hiyo duniani ilikamilika kwa muda gani na pia fuatilia mkandarasi huyo kama amewahi kujenga miradi mingapi ya ukubwa huo ili kufahamu capacity yake. Serious companies hasa za...
JK alisema "ukitaka kula lazima na wewe uliwe" Lazima ufahamu kuwa wakati mwingine ili upate kitu lazima na wewe ukose kitu. Serikali inahitaji misaada ya kimataifa kama sikosei pesa za World Bank zina masharti kuwa Kamati za Bunge kama ile ya Fedha na Mashirika ya Umma and the like, Wenyeviti...
Mmekuwa mkitetea nchi kuwa na ndege zake badala ya kuruhusu usafiri wa ndege ushamiri kwa ushindani kwa kuruhusu mashirika/kampuni mbalimbali ziingie katika biashara ya ndege nchini (usafiri wa ndege za ndani). Matokeo ndiyo hayo, ATCL kupanga nauli kubwa wakijua kuwa watu hawana...
Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!
Hakuna utawala wa sheria nchini hivyo wawekezaji wamekuwa waoga kwa serikali otherwise wangelinda faragha ya mteja mpaka polisi waje na order ya mahakama kama sheria inavyotaka. Unaletewa barua leo ya kuomba taarifa ya mteja wako, siku hiyohiyo unatoa taarifa za mteja pasipo kichunguza uhalali...
Ajali za magari ya serikali ikiwamo jeshi na polisi zinatokana na tabia ya madereva kwa kuona kuwa alama na sheria za barabarani haziwahusu. Kumezuka sasa tabia ya kuweka vitaa vya rangi mbele na waki overtake magari mengine ovyo huku wakitaka wewe uwapishe na kukaa pembeni. Huwa hawajali ni...
Tuige majirani zetu Kenya, mpaka naibu rais Ruto alionesha mapema kuutaka urais na kupishana na boss wake kwa kuwa ana mwelekeo mwingine. Hata wakenya wengine pia walionesha mapema mwelekeo wao wa uchaguzi ujao. Isiwe dhambi pale ambapo mtu ana haki ya kugombea na akaonesha nia mapema aidha ya...
Alikuwa na haki kama mkuu wa mhimili kutoa maoni yake but kosa alilofanya ni kuanza tena kuomba msamaha. Pamoja na kuomba msamaha amechambwa kisawasawa. Ili afe kishujaa anatakiwa arudi tena kuongea na waandishi wa habari na kurejesha msimamo wake wa awali kabla ya kuomba msamaha na kuchambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.