Search results

  1. Ngatele

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    PCCB wachunguze mali zake na vyanzo vya pesa katika kupata mali hizo kama vilikuwa vya halali, e.g namna alivyo jenga nyumba hiyo.
  2. Ngatele

    Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

    Ni vizuri hopitali zikawa na mifumo ya CCTV. Itakuwa ajabu sana kama ICU haina CCTV cameras as anaweza tokea kichaa mmoja ama mfanyakazi au si mfanyakazi akamzimia mgonjwa mashine kwa sababu zake tu.
  3. Ngatele

    Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Jadili hoja yangu. Nimesema muda wa mradi na si whether mradi ni mzuri au mbaya. Jaribu kufuatilia miradi mikubwa kama hiyo duniani ilikamilika kwa muda gani na pia fuatilia mkandarasi huyo kama amewahi kujenga miradi mingapi ya ukubwa huo ili kufahamu capacity yake. Serious companies hasa za...
  4. Ngatele

    Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Muda wa kwisha mradi haukuwa realistic. Uliwekwa kumfurahisha mtu kwa jinsi yeye alivyotaka
  5. Ngatele

    Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

    JK alisema "ukitaka kula lazima na wewe uliwe" Lazima ufahamu kuwa wakati mwingine ili upate kitu lazima na wewe ukose kitu. Serikali inahitaji misaada ya kimataifa kama sikosei pesa za World Bank zina masharti kuwa Kamati za Bunge kama ile ya Fedha na Mashirika ya Umma and the like, Wenyeviti...
  6. Ngatele

    Mtaturu: Gharama za ATCL ndani ya Tanzania ni kubwa kuliko zile za Dubai

    Mmekuwa mkitetea nchi kuwa na ndege zake badala ya kuruhusu usafiri wa ndege ushamiri kwa ushindani kwa kuruhusu mashirika/kampuni mbalimbali ziingie katika biashara ya ndege nchini (usafiri wa ndege za ndani). Matokeo ndiyo hayo, ATCL kupanga nauli kubwa wakijua kuwa watu hawana...
  7. Ngatele

    Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

    Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!
  8. Ngatele

    Watumiaji wa Mitandao ya Simu Tudhihirishe Nguvu ya Wateja

    Hakuna utawala wa sheria nchini hivyo wawekezaji wamekuwa waoga kwa serikali otherwise wangelinda faragha ya mteja mpaka polisi waje na order ya mahakama kama sheria inavyotaka. Unaletewa barua leo ya kuomba taarifa ya mteja wako, siku hiyohiyo unatoa taarifa za mteja pasipo kichunguza uhalali...
  9. Ngatele

    Ajali za barabarani, vifo vya kuuana vimekuwa vingi nchini, kama Taifa tuongoze kufikiria nini kifanyike haraka vinginevyo tutalaumiana baadaye

    Ajali za magari ya serikali ikiwamo jeshi na polisi zinatokana na tabia ya madereva kwa kuona kuwa alama na sheria za barabarani haziwahusu. Kumezuka sasa tabia ya kuweka vitaa vya rangi mbele na waki overtake magari mengine ovyo huku wakitaka wewe uwapishe na kukaa pembeni. Huwa hawajali ni...
  10. Ngatele

    Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

    Hata yeye anazuga kugombea urais 2025, atakaye gombea ni January junior. Ila anaweza kumuunganisha pamoja na Madelu ili Madelu aje agombee 2035.
  11. Ngatele

    Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

    Mchumi, Dr katika ubora wake na siasa. Kwa hiyo serikali inachapisha pesa za kulipia madeni?? Maajabu ya dunia haya.
  12. Ngatele

    Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

    Tuige majirani zetu Kenya, mpaka naibu rais Ruto alionesha mapema kuutaka urais na kupishana na boss wake kwa kuwa ana mwelekeo mwingine. Hata wakenya wengine pia walionesha mapema mwelekeo wao wa uchaguzi ujao. Isiwe dhambi pale ambapo mtu ana haki ya kugombea na akaonesha nia mapema aidha ya...
  13. Ngatele

    Kwa hali hii; Je, Job anaweza kumuwahi boss wake kwa ile kura ya veto?

    Kwa hiyo 7(a) inamhusu kwani akifukuzwa uanachama atakosa sifa ya kuwa mbunge na hivyo kupoteza nafasi ya u spika
  14. Ngatele

    Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

    Alikuwa na haki kama mkuu wa mhimili kutoa maoni yake but kosa alilofanya ni kuanza tena kuomba msamaha. Pamoja na kuomba msamaha amechambwa kisawasawa. Ili afe kishujaa anatakiwa arudi tena kuongea na waandishi wa habari na kurejesha msimamo wake wa awali kabla ya kuomba msamaha na kuchambua...
  15. Ngatele

    Hiki alichofanya Meya Raibu kinapaswa kuigwa nchi nzima, watumishi wapewe hamasa.

    Acha tusubiri taarifa ya CAG pia kwenye compliance ya sheria ya manunuzi ktk kuwapata hao wakina Rajiv Construction
  16. Ngatele

    Rais Samia ni Rais wa JMT ambaye moyo na mapenzi yake yapo Zanzibar

    Na wao(wazanzibar) kama wapo kama equal state ndani ya muunvano, wasitake mgao sawa kwa sawa wa pesa na huku wanazuia Tanganyika kumiliki ardhi kwao. Otherwise wawe kama mkoa tu na kupewa mgao kama mikoa mingine. Otherwise ni wakati wao sasa chini ya utawala wa mzanzibar ambaye anajaribu...
  17. Ngatele

    Mtume J Mwingira Kahojiwa na kuachiwa Huru

    Tusubiri tena mahubiri yake Jumapili ijayo.
  18. Ngatele

    Kitakachommaliza Mama ni Uzanzibari tu na sio kingine. Hizi kelele zote ni geresha tu, tatizo ni Uzanzibari

    Wazanzibar wanapenda kujitambulisha kwa uzanzibar wao hasa wakiwa nje ya nchi na si watanzania. Hivi sasa Watanganyika tunatawaliwa na mgeni (ALIEN) na kwa sasa atakuwa kawaambia wazanzibar kwamba watulie wale mema ya nchi(muungano). Ukiacha hizo nafasi za ajira, haingii akilini katika mkopo wa...
  19. Ngatele

    Kitakachommaliza Mama ni Uzanzibari tu na sio kingine. Hizi kelele zote ni geresha tu, tatizo ni Uzanzibari

    Kwa hiyo JWTZ wakitangaza nafasi 1000 za kujiunga na jeshi 210 wanatoka Zanzibar kwenye population ya watu million 1 kwa makadirio na 790 wanatoka Tanganyika kwa population ya million 60, what a ratio??? Kwa kweli mpaka mama amalize wazanzibar watafaidi sana kuwepo kwake ktk urais. Acha...
  20. Ngatele

    Kitakachommaliza Mama ni Uzanzibari tu na sio kingine. Hizi kelele zote ni geresha tu, tatizo ni Uzanzibari

    Kwa mfumo huu wa serikali mbili za muungano ambao tunaambiwa serikali ya Tanganyika imevaa koti la muungano, ina maana rais wa serikali ya muungano ndiye pia rais wa serikali ya Tanganyika. Naona CCM wanaanza kutambua kuwa mfumo huu wa muungano ni tatizo. ACT Zanzibar wametulia tuli, watakuwa...
Back
Top Bottom