Recent content by New Nytemare

  1. New Nytemare

    Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    Siwezi kuungana na maiti.. Maaana viongoz wametutawala Watz kama maiti Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  2. New Nytemare

    Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    We makota kweli...kwani ile kauli ya kutokupereka maendeleo kwenye kata au jimbo la chadema ni nini Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  3. New Nytemare

    Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    1.Familia 2.gari 3.nyumba 4. Wekeza Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  4. New Nytemare

    Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    Dogo kuwa uyaone...bado huwajui hawa viumbe Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  5. New Nytemare

    Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

    Usiwaze kifo waza utaachaje kizazi chako...umewaandalia nn watoto na wajukuu wasiteseke Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  6. New Nytemare

    Kuna nyakati kuvaa condom ni kitendo kigumu sana au hakiwezekani kabisa

    Miaka yangu yoote silaa ni olive oil tu na niko powa Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  7. New Nytemare

    Kuna nyakati kuvaa condom ni kitendo kigumu sana au hakiwezekani kabisa

    Hasa hizi za misaada Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  8. New Nytemare

    Kuna nyakati kuvaa condom ni kitendo kigumu sana au hakiwezekani kabisa

    Amin hivyo Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  9. New Nytemare

    Kabila linaweza kubadilika kutoka kabila moja hadi jingine?

    Mfano mimi ni mbena ila ndugu zangu wote asilimia 97 ni wahehe
  10. New Nytemare

    Nichague IPI kati ya Toyota Rav 4 kilitime na premio new model

    Nami nilitaka ni comment hivi hivi Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  11. New Nytemare

    CAF yamfungia mechi 8 Kocha wa Taifa Stars, huku TFF ikimsimamisha. Aliishutumu Morocco kwa kupanga mechi

    Aliishutumu Morocco Kocha aliye kaimu Hemedi morocco... Kuna namna sielewi Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  12. New Nytemare

    Nice wa tilisho posho yake shilingi ngapi?

    wabongo acheni upumbavu...mnaamini vitu rahis rahis sana Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  13. New Nytemare

    Kwanini Watanzania lazima tuweke magrill kwenye madirisha?

    marekan wanaiba pesa cash wezi wetu wanataman Tv Vingamuzi moaka flash disk
Back
Top Bottom