Recent content by MWANAHARAKATI MWEMA

  1. M

    UZUSHI Dhana Potofu kuhusu Ugonjwa wa Figo

    Maambukizi makubwa kwenye DAMU inamaanisha nini? au ni ugonjwa gani unaohusiana na maambukizi makubwa.
  2. M

    Ni ngumu kuibadili jamii inayoamini katika njia ya mkato ya maendeleo

    NI ukweli husiopingika kwamba kila mtu anatamani maendeleo na ukweli huo hauwezi kubadilika. Shida inayoniumiza kichwa changu Kwa sasa NI Kwa nini waafrika tunapenda short cut, hatupendi kuanzia chini au kutumia NJIA sahihi kupata mafanikio endelevu. Nafahamu kwamba afrika tunategemea Sana...
  3. M

    Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

    Wewe ni mjinga kama wajinga wengine hufai wala hutakiwi kuwa hata kiongozi wa familia yako. Wewe unajua mzungu ametumia mbinu gani kudhoofisha uchumi wa Zimbabwe, kuna mambo ambayo waafrika tunayakosea sio Kwa kupenda ni Kwa sababu watu wetu wanapenda kupata vitu Kwa NJIA rahisi hao wanaotumia...
  4. M

    Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Sa Sasa Kwa staili hiyo huoni kwamba mtu anaweza kupata mchumba wakaenda hospital kupima na kutokana na huyu anayetumia dawa Kwa usahihi kipimo kushindwa kusema atakuwa amejiingiza kwenye hatari ya kuambukizwa Kwa kuwa atamla Kwa kuwa wamepewa majibu ya unditectable.
  5. M

    Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Kwaiyo icho kitu kinachoitwa kitaalamu unditect hakiwezi kutokea kabisa Kwa mtumiaji mzuri wa arv.
  6. M

    Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Kwahiyo Dr katika utaalam wako watu wanaomeza dawa Kwa usahihi ukimpima kipimo kinaonyesha mistari mitatu.au miwili.
  7. M

    Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Hapa hoja yangu ni kwamba kama kipimo hakioneshi maana yake ipo siku huyu mtu anaweza kukuchangia damu.
  8. M

    Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi. Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana. Sasa kuna mtu mmoja...
  9. M

    Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

    Wewe unaakili kweli rais ndio amefanya hayo au ni bajeti ilipangwa kutekeleza hayo, unapozungumzia rais kufanya Jambo ni lazima liwe linahusisha taifa Kwa ujumla lenye kubadilisha mipango ya nchii. Mfano: magufuli alifanya maamuzi ambayo ni ya kitaifa, kujenga bwawa la umeme ambalo...
  10. M

    Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

    Ebu orodhesha mambo ambayo ameyafanya ili hoja yako ikubalike.
Back
Top Bottom